SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

ukanda wa Singida,Tabora,Shinyanga,Simiyu,Mwanza na Geita usishangae ukiingia kwenye geto la mtu ukamkuta fisi chini ya kitanda chake
Waweke kambi tu sehemu usiku waone maajabu ya Sayansi za usafiri duniani
 
Huo utaalm wa kupaa na fisi uwe documented.

Uboreshwe.

Na Tanzania iwe nchi ya kwanza Duniani kuwa na Usafiri wa anga wa aina yake.
 
Serikali iruhusu huu Usafiri ambao nasikia ukipanda kama mfano unatoka Shinyanga kwenda Dar ni kufumba na kufumbua macho tayari uko Dar.
 
Serikali iruhusu huu Usafiri ambao nasikia ukipanda kama mfano unatoka Shinyanga kwenda Dar ni kufumba na kufumbua macho tayari uko Dar.
Wanaona biashara za mabasi zitakosa watu πŸ˜ƒ
 
Umenikumbusha,
Nje kidogo ya jiji la mwanza Kuna sehemu inaitwa bujora pale huwa wamehifadhi tamaduni ya wasukuma..

Kuna majoka chatu yanafugwa hayana madhara " MAJOKA YA BUJORA"

All in all,
Utakuja sikia Kuna fisi MLA watu kavamia Kijiji...Kuna sayansi kubwa Sana hapo Kanda ya ya ZIWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…