Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan kitu nlikua siju ni maana ya mafisim.nlikua naskia nakusoma mafisim ila leo nimeijua maana yake haswaa ππππKwanini Fisi watumike kwenye kampeni za chama lakini Emma asiwatumie?!
Kabisaa ukiunganisha na hyo picha unapata uhalisiaa.ππ Umemwoona Kinana alivyotoa jicho kwa tabasam kwakumtizama.mwanachama mwenzao kafungwa. MnnyoororooMajina yanaendana au sio!?
Halafu haohao police ndio wateja wakubwaTunapotezaga muda kwenye mambo yasiyo na msingi! Mitaani kuna wezi kabsa ila polisi wapo busy kukamata waganga
Why? msukuma why!!!!!!?Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga.
Umenikumbusha,Tangu lini serikali imeanza kuamini mambo ya kichawi/ushirikina? Polisi inaaminije kuwa huyo ni fisi halisi? Mamlaka ya wanyamapori wakimchukua mnyama wao watampeleka porini akaendelee na maisha ya porini? Je kama wamechukua msukule/zombi lenye umbo la fisi wakaliaje porini hawaoni kuwa litarudi kijijini kusumbua watu? Anyway TAWA na TAWIRI ndio wenye kuthibitisha kuwa huyo ni fisi halisi au wa mchongo
Mbona ilikua kwenye mikutano ya CCM fisi wanaletwa kutumbuiza watu ?Fisi ni moja ya nyara ya serikali kwa mujibu wa Jeshi la polisi π iwe fisi natural au fisi ya kichawi
Eti fisi tu ndio wampeleke mahakamani ingekuwq pembe za ndovu je?Sijui wangemkuta na Kifaru au Twiga ingekuwaje tu π