Kumbe kuna watu bado mnahangaika na uchaguzi ? 😆
Unaacha usingizi wako unaenda kituoni kupanga mstari serious?
Huo Ukweli Utamweka HuruNape Nnauye apewe maua yake kwa kuongea ukweli.
Kumbe kuna watu bado mnahangaika na uchaguzi ?
Huna akili wewe. Propaganda unapiga wewe unafikiri dunia ipo vilevile gizaniPropaganda tangu 95 hazibadiliki hebu watafute mpya kwa kizazi kipya!
Kati ya watu wasiyo na akili jamii forum inawezekana unaongozaPropaganda tangu 95 hazibadiliki hebu watafute mpya kwa kizazi kipya!
Haya nn?, Majizi makubwa nyinyi muonage aibu!!Haya
Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X
"Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo"
Soma pia: Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa
View attachment 3162892

Kamati ya yule jamaa wa Longido, wanaoshinda maporini, wakiwa kazini.Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X