LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Hali ya Uchaguzi huko Simiyu inaonekana ikiwa si shwari.

Hapa ni moja ya maeneo ya kupigia kura huko Simiyu, kama mnavyooona huyo baba hapo nadhani ni wakala wa CHADEMA anauliza kwanini kuna kura kabla ya wananchi kuanza zoezi lenyewe?

Hali ni mbaya!





 
Kumbe kuna watu bado mnahangaika na uchaguzi ? 😆

Unaacha usingizi wako unaenda kituoni kupanga mstari serious?
 
Wakuu

Karatasi za kupigia kura zikiwa tayari zimewekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu, Jimbo la Bariadi Mjini, Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo.



 
Hatar sana,binafsi sijashiriki kupiga kura siku nyingi sana,demokrasia ya kweli Afrika bado sana
 
Kumbe kuna watu bado mnahangaika na uchaguzi ? 😆

Unaacha usingizi wako unaenda kituoni kupanga mstari serious?

Kwamba unaona sifa au?

Yaani niache kwenda kupiga kura kisa najua kuwa CCM wataiba?

Mbona najua barabarani kuna vibaka na ajali na bado watu wanatembea barabarani?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
1000040139.png
 
Kinachonifurahisha ni kwamba hata ccm wanajua kuwa hawatakiwi
 
Propaganda tangu 95 hazibadiliki hebu watafute mpya kwa kizazi kipya!
Huna akili wewe. Propaganda unapiga wewe unafikiri dunia ipo vilevile gizani
Jifunze kunyamaza ufiche upumbavu wako japo kidogo.
Hii nchi siyo ya ccm
 
Back
Top Bottom