Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

Tuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!
Umaskin braza ...nimepewa.elfu 10 kwenda tu kuhudhuria mkutano wa hadhara na ukichek mfukoni nilikua Sina hata mia mbovu ...kwanini nisiende...shida umaskin braza...
 
Huwa nayaona mapumbavu kweli mamtu. Yaani yanakokotwa kipumbavu kuwanufaisha watu wanaoharibu future zao kwa posho ya 20K
 
Inawezekana walikuwa wanaenda mnadani lakini,tusubiri taarifa rasmi kwanza.
Mnadani kaka malori yameshapigwa marufuku kitambo sana kusafirisha abiria,mizigo hubebwa kwenye malori na fuso ila wafanyabiashara wao hutumia usafiri mwingine ila kwa kuwa ni maccm inawezekana tu kuvunja sheria na kubeba watu kwenye malori
 
Jini subiani linazidi kunyonya damu za Watanganyika.
Sasa kama hawana kazi za kufanya?? Acha apite nao tu mijitu kama hii Haina faida ya kuishi.. Ukiangalia maisha Yao ni magumu kuliko ya kwangu then yanasafirishwa kwenda kujaza watu ili ionekane Mama Anapendwa..
 
Tuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!

Wewe mbona ujasombwa?
 
Kwanza ni dharau na ni uvunjifu wa sheria za usalama barabarani. Polisi wamefumbia macho uvunjaji wa sheria za usalama barabarani kwa kuacha raia wapakiwe kama mizigo. Kama CCM wanaheshimu wananchi kwa nini wasiwapakie kwenye mabasi staha? Wana mabasi chungu nzima hata kama wameyabandika maandishi ya kampeni wangeyatumia tu kubeba wananchi hao kistaarabu. Kwa mtindo huu wa kishenzi kubeba watu kwenye malori ya mizigo wananchi hawa watabebwa sana wakati wa kampeni ili tu kujaza mikutano ya kampeni ionekane imehudhuriwa na nyomi kubwa. Ni ubunifu wa kijinga sana kusomba watu toka mbali kuja kujaza mkutano. Kuna wakati ukizubaazubaa unatelekezwa na kuachwa na malori hayo kurudi utajibeba mwenyewe. Acheni wananchi waje wenyewe kwa usafiri wa hadhi yao na sio malori ya mizigo, CCM hashimuni wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…