Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

Kuna taarifa za ajali ya lori lililokuwa limebeba makada wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kufanyika wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu usiku wa kua leo Juni 17, 2025.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe alipoulizwa kuhusu taarifa hizo, amesema: "Niko barabarani tutatoa taarifa mtaipata muda si murefu."

Tunaendelea kufuatilia.
Mungu Mkuu, tunauona Mkono wake.
 
Wafeeeeeeeer
 
Wengine humu ni watu wazima na heshima zenu mnataka kuanzisha ligi ya matusi na watoto wenu, mkishindwa mnaanza kutishia kulaani
 
Kwanini polis...I na wanachama WA CCM wakif..a au kupata majanga,watu walio wengi hufsnya shereh..e?
 
Unakubalije kusombwa na lori kama m,buzi mnadani,
kama wana kuthamini basi wakupeleke kwa bus,huu ujinga mpaka lini
Siku nikimkuta mke wangu kwenye hiyena hiyena za maccm namprudisha kwao na nilishamueleza
 
Wao Wanasafiri luxury,,Wajinga Wanakubali Kusombwa Kwenye Malori Kama Ng'ombe....
 
think twice before hujafanya jambo kama lile kupakia watu kama mizigo. Halafu acha kubishana na mimi utakula ban au utajificha nisione comment zako, tuliza mzuka kenge we

Vijana mka kazi sana, sawa!
 
Tuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!
Hakika ni zaidi ya uwendawazimu
 
Back
Top Bottom