Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

Tuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!
Baadhi JF Hawatakuelewa Ila Umeongea Ukweli Mtupu Dereva Anaangushiwa Jumba Bovu Tu
Nyomi Ilikuwa Inapelekwa Kujaza Uwanja
 
Leo Gari Ni Engine Siyo Bodi Kaongea Ukweli
Kila Anakopita Watu Wa CCM Wanamwambia Chama Chao Ushindi Wao Unategemea Police
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.

Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.

Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.

Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

View attachment 3373085
Sheria za usalama barabarani zinasemaje kuhusu kusafirisha watu kwa kutumia malori?
 
Madhara ya kusomba watu kutoka mbali ili kujaza vichwa kwenye mikutano!
 
Sheria ya usalama barabarani inasemaje kuhusu magari ya mizigo kubeba abiria? Na kwanini sisiemu itumie malori kubebea wananchi kuja kwenye mikutano kwanini wasijifunze mikutano ya CDM wanawafuata watu huko huko maeneo yao ndio mana wanagonga mikutano hata 6 kwa siku moja badala yakusombelea watu unaenda kuwahutubia huko huko hii kubebelea watu kwenye malori haikubaliki hata kidogo

No reform No Election
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.

Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.

Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.

Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

View attachment 3373085
Police wanatoka chanjo ya ng'ombe, huyo anasema walikua wanaenda kwenye mkutano wake, ss which is which?
 
Back
Top Bottom