Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Basi iwapo ni hivyo niwape pole,ila hawajatuhabarisha kuhusu ajali hiyo.Mnadani kaka malori yameshapigwa marufuku kitambo sana kusafirisha abiria,mizigo hubebwa kwenye malori na fuso ila wafanyabiashara wao hutumia usafiri mwingine ila kwa kuwa ni maccm inawezekana tu kuvunja sheria na kubeba watu kwenye malori