Baadhi JF Hawatakuelewa Ila Umeongea Ukweli Mtupu Dereva Anaangushiwa Jumba Bovu TuTuliishakataa kusomba nyomi za kujaza mikutano, ccm acheni wananchi wenyewe waje kwenye mikutano yenu. Ona sasa madhara ya kusomba watu na malori toka sehemu za mbali ili tu kujaza mkutano. Hizi ni mbinu za kiewendawazimu!
Labda chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wajinga wengine wa aina hiyo, ndio wanaweza kuja kutuambia malory yanaruhusiwa kisheria kubeba abiria?Sijaona CCM humu wakijitetea, kulikoni???
Acheni Viroja.Labda chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wajinga wengine wa aina hiyo, ndio wanaweza kuja kutuambia malory yanaruhusiwa kisheria kubeba abiria?
Hili Jambo Halina Unafki WowoteLabda chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wajinga wengine wa aina hiyo, ndio wanaweza kuja kutuambia malory yanaruhusiwa kisheria kubeba abiria?
Sheria za usalama barabarani zinasemaje kuhusu kusafirisha watu kwa kutumia malori?Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.
Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
View attachment 3373085
Madhara ya kusomba watu kutoka mbali ili kujaza vichwa kwenye mikutano!Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.
Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
View attachment 3373085
Mafuriko fake yanasababisha mnavunja sheria za nchi hatimaye kupoteza maisha ya wananchi masikini.Acheni Viroja.
Sheria za usalama barabarani zinasemaje kuhusu kusafirisha watu kwa kutumia malori?
Mambo ya kuswaganaAcheni Viroja.
Inawezekana walikuwa wanaenda mnadani lakini,tusubiri taarifa rasmi kwanza.
Sheria ya usalama barabarani inasemaje kuhusu magari ya mizigo kubeba abiria? Na kwanini sisiemu itumie malori kubebea wananchi kuja kwenye mikutano kwanini wasijifunze mikutano ya CDM wanawafuata watu huko huko maeneo yao ndio mana wanagonga mikutano hata 6 kwa siku moja badala yakusombelea watu unaenda kuwahutubia huko huko hii kubebelea watu kwenye malori haikubaliki hata kidogoRais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.
Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
View attachment 3373085
Police wanatoka chanjo ya ng'ombe, huyo anasema walikua wanaenda kwenye mkutano wake, ss which is which?Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Kabla ya kufika kwenye mkutano huo, Rais Samia ambaye yuko kwenye zaiara ya siku tano mkoani Simiyu, pia aliwatembelea majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya hiyo.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu leo Juni 17 imesema mbali na vifo hivyo, ajali hiyo imesababisha majeruhi 15, ambapo 13 kati yao ni wanaume.
"Ajali hiyo ilisababishwa na uzembe wa dereva kwa kushindwa kulimudu gari akiwa kwenye kona kali. Miili ya marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu," imesema taarifa hiyo.
Pia soma ~ Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi
View attachment 3373085
Kwann ccm inasafirisha watu kwenda kwenye mikutano ya bi. Kidude?akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake.
Wewe una hisi idadi imefichwa? Kwani majeruhi wangapi?Sijui ni kwa nini wanne tu!
Wapi nimeandika hayo unayodai boss?Wewe una hisi idadi imefichwa? Kwani majeruhi wangapi?