Mchungaji PeterMsigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa ameongeza kuwa Chadema hawana mipango madhubuti na nyuso zao zimekosa nuru.
Aidha, alimsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuitekeleza miradi iliyokuwa imeachwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, akidai kuwa Rais Samia amenyang'anya ajenda zote za CHADEMA kwa ufanisi wake.
Mchungaji PeterMsigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema kuwa Chadema hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa ameongeza kuwa Chadema hawana mipango madhubuti na nyuso zao zimekosa nuru.
Aidha, alimsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuitekeleza miradi iliyokuwa imeachwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, akidai kuwa Rais Samia amenyang'anya ajenda zote za Chadema kwa ufanisi wake.