Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

Attachments

  • IMG-20240820-WA0000.jpg
    291.1 KB · Views: 1
  • 5802797-150989d9463ebf5a1bee3ec1a6ab93fb.mp4
    8 MB
DC Busege Ke
RPC simiyu Ke
Rc Dodoma alikuwa ke
Afande aliyewatuma,alikuwa ke

Kuna tatizo mahali!
 
naomba wananchi kila kona waamke wawapige mawe hadi wafe maana wajinga wanastahili adhabu...kama wameshindwa kuwalinda jilindeni tu!
 
DC Busege Ke
RPC simiyu Ke
Rc Dodoma alikuwa ke
Afande aliyewatuma,alikuwa ke

Kuna tatizo mahali!
Tatizo hawataki mama asemwe kwa mabaya. Wanatamani asemwe kwa mema tu. Akisemwa kwa mabaya lazima wamtetee kwa kila hali. Mazuri yote yake, mabaya wanapewa wananchi
 
Inaumiza sana. Wananchi wanalipa kodi kuwalipa polisi, kuwanunulia bunduki, kuwanunulia magari lakini polisi muda wao mwingi wanautumia kuwa vibaraka wa watawala na sio kutekeleza majukumu yao ya msingi ya kuwalinda wananchi na mali zao.

Kwa kuwa polisi na viongozi hawajitambui wala kuyatambua majukumu yao ya msingi, italazimu wananchi kuchukua hatua dhidi yao.
 
An Hawa viongozi hawajapotelewa na watoto wao kutokana na ulinzi walionao tayari that's why wanatutreat like nonsense, kodi zetu ndo zinawalipa ndo zitutese? Sometimes nakaa nawaza huyo kiongozi ukiachana na cheo ananizidi Nini Mimi au mwenzetu anamiguu minne au haendi maliwatoni ama🤔
 
Watoto waliopotea Hawa hapa
 

Attachments

  • IMG-20240820-WA0000.jpg
    291.1 KB · Views: 1
Sasa angepigwa mawe na watu 108 angekuwa hai, jeshi la polisi liwe na mbinu sio hii ya sombasomba tukapembue mbele, kweli katiba mpya ikipita polisi watalia sana
 
Kwa maana iyo anamanisha wao ni vichaa kuandamana? Watoto wao wanapotea YY yuko ofisini tu field ayupo.kisha anabisha.
 
huwa wanatuona kama sisi hatuna mamlaka na nchi yetu hatutakiwi kuhoji kitu dah 🔥🔥ila kwa nlichoota leo wakuu soon tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…