Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

Mkuu kama DNA analysis ingefanyika hawa angekuwa na vinasaba vya nani? si adam.! kumbuka part of adam's body was used to make eve,!
Hizi story za kusadikika sizitaki mbichi hizi
 
Mkuu kama DNA analysis ingefanyika hawa angekuwa na vinasaba vya nani? si adam.! kumbuka part of adam's body was used to make eve,!
Viumbe vyote vya kingdom animalia, hado konono, tunafanana nao DNA kwa 98%. Hii ina support ‘Theory of evolution’. Achana na mambo ya Adam.
 
Haramu kutafynana nje ya ndoa, bs yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa. Sisi siyo washenzi wa "kutafunana" nje ya ndoa .
Kwa hio binamu anakuoa kabisa na unazaa nae mtoto wa Shangazi na Mjomba
 
KWA WAARABU NI SASA KABISA NA INAPENDEZA KUOA MTOTO WA BINAMU ILA KWA MAKAFIRI MTASHANGAA SANA MAANA NYINYI ZINAA NDIO MAHALI PENU
Wewe someni sheria zilizokataza hilo katika nchi kwanza ndio uje hapa. Huna haja ya kuwarukia Waarabu na Waislam maana huu uzi utaukimbia
 
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.

Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.

Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.

Chanzo: Habari Leo
Kuzini ni fikra za kiislam,kuzini inakuaje kosa kwa jamhuri ya kikafiri?
 
Hii ni hukumu ya uonevu.
Mafisadi wanayokwapua pesa za dawa, barabara na shule wanadundwa tu
Kwa kufanya zinaa kama ndugu wamemkosea nani?
Wamehujumu uchumi wa Tanzania?
Haya huyo mtoto ndugu wamsusie hakimu aliyetoa hukumu amlee
 
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.

Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.

Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.

Chanzo: Habari Leo
Kuna watanzania wengi tu wameoana ndugu ila kuna mila zinafanyika ili kuondoa baadhi ya matatizo kwa vizazi vyao vijavyo
 
Back
Top Bottom