FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Haramu "kutafunana" nje ya ndoa na yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa.Kwa hio Wewe binamu yako anakutafuna?
Sisi siyo washenzi wa "kutafunana" nje ya ndoa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haramu "kutafunana" nje ya ndoa na yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa.Kwa hio Wewe binamu yako anakutafuna?
Hizi story za kusadikika sizitaki mbichi hiziMkuu kama DNA analysis ingefanyika hawa angekuwa na vinasaba vya nani? si adam.! kumbuka part of adam's body was used to make eve,!
Kumbe kitu mpaka kikatazwe na katiba explicitly ndio kiwe makosa! Kwahiyo katiba ndio imetaja makosa na adhabu?Hivi kumbe katiba yetu inakataza kaka na dada wa damu kuoana?
Viumbe vyote vya kingdom animalia, hado konono, tunafanana nao DNA kwa 98%. Hii ina support ‘Theory of evolution’. Achana na mambo ya Adam.Mkuu kama DNA analysis ingefanyika hawa angekuwa na vinasaba vya nani? si adam.! kumbuka part of adam's body was used to make eve,!
Huenda inawahusu watu weusi tu, mbona wahindi na waarabu wanaoanaKuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Kwa hio binamu anakuoa kabisa na unazaa nae mtoto wa Shangazi na MjombaHaramu kutafynana nje ya ndoa, bs yeyote yule. Tunaowana kisheria kabisa. Sisi siyo washenzi wa "kutafunana" nje ya ndoa .
Ahahah mkuu...basi tuishie hapa.Hizi story za kusadikika sizitaki mbichi hizi
Wewe someni sheria zilizokataza hilo katika nchi kwanza ndio uje hapa. Huna haja ya kuwarukia Waarabu na Waislam maana huu uzi utaukimbiaKWA WAARABU NI SASA KABISA NA INAPENDEZA KUOA MTOTO WA BINAMU ILA KWA MAKAFIRI MTASHANGAA SANA MAANA NYINYI ZINAA NDIO MAHALI PENU
Kuzini ni fikra za kiislam,kuzini inakuaje kosa kwa jamhuri ya kikafiri?Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Ipo ndio hiyo iliyowafungaKuna sheria inakataa ndugu kuoana?
Ndio maana nakwambia wakikata rufaa wanachomoa hio kesi wapate mwanasheria mzuri tuKuzini ni fikra za kiislam,kuzini inakuaje kosa kwa jamhuri ya kikafiri?
Kuna watanzania wengi tu wameoana ndugu ila kuna mila zinafanyika ili kuondoa baadhi ya matatizo kwa vizazi vyao vijavyoMahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Shija (33) na Hollo Shija (35) miaka 30 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama mke na mme kwa zaidi ya miaka sita wakijua kuwa ni ndugu wa damu.
Wakazi hao wa Kijiji Cha Mandang'ombe Wilayani Maswa walihukumiwa jana Agusti 14, 2024 na Hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo Enos Misana, ambapo ilidaiwa mahakamani hapo kuwa watuhumiwa hao walifanikiwa kupata mtoto mmoja mwaka 2022.
Katika jinai namba 26634/2024 iliyokuwa inawakabili watuhumiwa hao ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashitaka ya Taifa wilaya ya Maswa, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Vedastus Wajanga kuwa walitenda makosa hayo tarehe na miezi tofauti kati ya mwaka 2018 hadi Julai 2024 katika kijiji cha Mandang'ombe wilayani humo.
Chanzo: Habari Leo
Leta vifungu Ila usivitoe kwenye LMA maana hawajaoana haoIpo ndio hiyo iliyowafunga
Ndugu ni tofauti na jamaa,ndugu ni unayechangia nae mzazi wakati jamaa ni wale ndugu wa wazazi na uzao wao,binam siyo ndugu bali jamaaFaizaFoxy anakataa kwamba Waarabu hawaowani wenyewe kwa wenyewe
Kwa hio Jamaa yako unaruhusiwa kumla?Ndugu ni tofauti na jamaa,ndugu ni unayechangia nae mzazi wakati jamaa ni wale ndugu wa wazazi na uzao wao,binam siyo ndugu bali jamaa