Ajali ni ajali tu nakubaliana na hilo, lakini ukweli ni kwamba Ukerewe kuwa Wilaya ya Mkoa wa Mwanza imeishachukuwa roho za mamia majini na barabarani kuliko kama Ukerewe ingepewa Mkoa wa Mara. Kupitia majini inachukuwa nusu siku (masaa 5 hadi 6), kupitia barabarani ni takriban muda huo huo (Mwanza Bunda masaa 2, Bunda Kisorya masaa 3, Kisorya Ukerewe nusu saa hadi saa 1).
Niliwahi kuchagiza humu kwamba Ukerewe ipelekwe Mara toka Mwanza. Tutaokoa roho nyingi kuendelea kupotea. Pia nikachagiza kwamba Mafia ipewe Dsm toka Pwani (japo nasiki Mkuranga ndiyo inaletwa Dsm ili kupata ardhi maana Dsm srkl imemaliza ardhi yote). Kutoka Mafia kwenda Kibaha inabidi upitie Wilaya za Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Temeke, Ilala, Ubungo ndiyo urudi tena Pwani (Kibaha yalipo Makao Makuu ya Mkoa).
Ni vivyo hivyo mtu kutoka Kiteto kwenda Babati Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara, analazimika kupitia Dodoma (Wilaya takriba 3 hv) ndiyo arudi tena Manyara (Babati). Nadhani migawanyo hii ya maeneo ya kiutawala ilichagizwa sana na siasa kuliko sayansi.
Usilolijua! Ili ufike ukerewe ukiwa Mwanza ni either uvukie Mwanza mjini, usafiri ni meli almost 5 to 6hrs to ukerewe au upitie Bunda - Kisorya ambako utavuka na fery kwa nusu saa, Mwanza - Bunda Kisorya kwa ule mwendo wao ni 2 to 3hrs
Ajali ni ajali tu nakubaliana na hilo, lakini ukweli ni kwamba Ukerewe kuwa Wilaya ya Mkoa wa Mwanza imeishachukuwa roho za mamia majini na barabarani kuliko kama Ukerewe ingepewa Mkoa wa Mara. Kupitia majini inachukuwa nusu siku (masaa 5 hadi 6), kupitia barabarani ni takriban muda huo huo (Mwanza Bunda masaa 2, Bunda Kisorya masaa 3, Kisorya Ukerewe nusu saa hadi saa 1).
Niliwahi kuchagiza humu kwamba Ukerewe ipelekwe Mara toka Mwanza. Tutaokoa roho nyingi kuendelea kupotea. Pia nikachagiza kwamba Mafia ipewe Dsm toka Pwani (japo nasiki Mkuranga ndiyo inaletwa Dsm ili kupata ardhi maana Dsm srkl imemaliza ardhi yote). Kutoka Mafia kwenda Kibaha inabidi upitie Wilaya za Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Temeke, Ilala, Ubungo ndiyo urudi tena Pwani (Kibaha yalipo Makao Makuu ya Mkoa).
Ni vivyo hivyo mtu kutoka Kiteto kwenda Babati Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara, analazimika kupitia Dodoma (Wilaya takriba 3 hv) ndiyo arudi tena Manyara (Babati). Nadhani migawanyo hii ya maeneo ya kiutawala ilichagizwa sana na siasa kuliko sayansi.
Si ilifikishwa Mahakamani na shauri likasikilizwa na kutoa haki kwamba Dumisani Dube (ANC Member) awe deported. Au ni kwa vile Marehemu hana haki kwenye sheria ya Traffic ya nchi yetu?