Simiyu yavunja rekodi ukusanyaji wa Mapato 2021/22

Mifumo haijengwi kwa miezi 9. Credit apewe mtangulizi wake kwa kuweka ground work vizuri na Kafulila kuindeleza vema

..hata mimi nashangaa ni kitu gani kimesababisha MLIPUKO/MFUMUKO wa ukusanyaji mapato mkoani Simiyu.

..Je, kuna CHANZO KIPYA cha mapato ambacho hakikuwepo miaka iliyopita na kimeanza kuchangia mwaka huu?

..Je, kuna MFUMO MPYA wa kukusanya mapato ambao umeanza kutumika mwaka huu na umeziba matundu ya miaka iliyopita?

Je, kuna ongezeko la MAVUNO au mapato ya wananchi kwa kiwango kisicho cha kawaida kulinganisha na miaka iliyopita?

..Ukusanyaji wa mapato ni jambo jema, lakini ni vema zaidi tukajua ongezeko hilo linatokana na nini. Tukiweza kufanya hivyo tutakuwa ktk nafasi nzuri ya kuendelea kukusanya mapato hayo, au hata hata kuongeza makusanyo.
 
Sasa kama wamezidi iliyopita na iliyopita ilikuwaje?
 
Ni ujinga mkoa wa Simiyu kukusanya 14bilion. Mkoa huo unatakiwa kukusanya 40bln kwa mwaka. Ushuru wa pamba , minada na magulio, leseni za biashara na mengine mengi huwezi kusanya 14bn.

Mama situka unaibiwa
 
To respond kwenye hili..
Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 OR TAMISEMI iligawa mashine nyingi saana za kukusanyia mapato kwa Halmashauri zote ambazo zimepunguza upotevu wa mapato na kuongeza mapato kwa Halmashauri, lakini pia inawezekana kuongezeka kwa mapato ninisimamizi mzuri wa viongozi katika kuhakikisha wanaziba mianya ya upotevu wa mapato haya hayahitaji uwekezaji wa miaka mingi kuleta tofauti katika ongezeko la mapato.
Lakini katika mwaka wa fedha husika inawezekana kabisa vyanzo vya mapato vipya vikabuniwa ambavyo vikaleta tofauti ya mapato kwa mwaka husika.
 
Good Kafulila
 
Mifumo haijengwi kwa miezi 9. Credit apewe mtangulizi wake kwa kuweka ground work vizuri na Kafulila kuindeleza vema
Tusijuvunie kuvunja record ya ukusanyaji mapato bila ya kupewa taarifa ya ongezeko la pato la wananchi wa eneo husika. Wananchi kunyang'anywa pesa zao, mifugo yao, kwa vitisho kulipa kodi ili wasifungwe sio ukusanyaji kodi.
 
Uongozi thabiti
 
Songwe alikuwa RAS nakukumbusha tu!
 
Kama kitu hukijui si bora ukae kimya kuliko kuongea utumbo kama huu.unatia aibu!
 
Tatizo humu hatufamiana wewe ndio Mtaka au sijaelewa [emoji16]
Mtaka alikuwa anawalisha ugoro kazi yao ilikuwa kumsifu yule jamaa ni bingwa wa propaganda[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kama kitu hukijui si bora ukae kimya kuliko kuongea utumbo kama huu.unatia aibu!
Wewe ndio ujui chochote, wewe unafikiri hizo asilimia 8% ambao ni ongezeko zimetoka mbinguni. Ni makadirio ya makusanya yalikuwa chini kuliko uhalisia au kuna chanzo ambacho hawakukiweka au walia under estatemate (didnot account for). wewe usione watanzania ni wapumbavu sana, yaani upate bilion 2 au tatu hewani (hapana kuna mahali imetoka au chanzo kipya)
 
Nchi ngumu sana hii aise hiiiihh
 
Great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…