Mifumo haijengwi kwa miezi 9. Credit apewe mtangulizi wake kwa kuweka ground work vizuri na Kafulila kuindeleza vema
..hata mimi nashangaa ni kitu gani kimesababisha MLIPUKO/MFUMUKO wa ukusanyaji mapato mkoani Simiyu.
..Je, kuna CHANZO KIPYA cha mapato ambacho hakikuwepo miaka iliyopita na kimeanza kuchangia mwaka huu?
..Je, kuna MFUMO MPYA wa kukusanya mapato ambao umeanza kutumika mwaka huu na umeziba matundu ya miaka iliyopita?
Je, kuna ongezeko la MAVUNO au mapato ya wananchi kwa kiwango kisicho cha kawaida kulinganisha na miaka iliyopita?
..Ukusanyaji wa mapato ni jambo jema, lakini ni vema zaidi tukajua ongezeko hilo linatokana na nini. Tukiweza kufanya hivyo tutakuwa ktk nafasi nzuri ya kuendelea kukusanya mapato hayo, au hata hata kuongeza makusanyo.