TANZIA Simon Amon Mwanguku, aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara (1983 -1992), Afariki Dunia

Teknocrat

Confirmed by Ambele Mwanguku, mtoto wa Mzee Simon Mwanguku.

Mzee Simon Mwanguku amefariki baada ya kupokea habari za kifo cha binti yake Julie.

Ambele Mwanguku ana hali ngumu sana.

Amempoteza dada yake (Julie Mwanguku) na baba yake (Simon Mwanguku) ndani ya wiki moja.

Pole nyingi kwa familia ya Mwanguku.
 
Thanks for information
 
Aisee
Pole nyingi kwa familia
 
RIP Mzee Mwanguku.
 
Pole mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,pole mkuu wa magereza nchini,pole Wana Mbeya wote,pole kwa familia ya Mwanguku,Hakika mtu huyu alikuwa mwema!
 
Pole mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,pole mkuu wa magereza nchini,pole Wana Mbeya wote,pole kwa familia ya Mwanguku,Hakika mtu huyu alikuwa mwema!
Misiba ya Mbeya unaweza dhani mkoa mzima ni ukoo mmoja. Si mara nyingi mtu wa Rukwa kufariki ukasikia raia wakipeana pole wana Rukwa ila Mbeya huwa inakuwa hivyo.

Marehemu apumzike kwa amani.
 
Miaka 96 si haba Mungu awape faraja familia yake.
 
POLE KWA FAMILIA NZIMA . HAKIKA WANAPITIA KATIKA WAKATI MGUMU SANA . KWELI DUNIANI TUNAPITA NA PIA MITIHANI NI SEHEMU YA MAISHA YETU YA TABU . WANADAMU TUISHI KWA UPENDO , SAFARI YETU NI MOJA. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU WOTE PEPONI . AMINA
 
Ila Wanyakusya bana wanapenda sana kuishi jijini hata wakistaafu hawarudi makwao, ni wachache sana wamerudi kijijini kama Prof. Mwandosya anayeishi Matema Beach Kyela.
Sio mnyakyusa huyo.
 
RIP mzee Mwanguku
Mwanga wa milele ukuangazie upumzike kwa amani.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…