TANZIA Simon Amon Mwanguku, aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara (1983 -1992), Afariki Dunia

Na aliuwa active Tiktok hadi siku 10 hivi nyuma. Nini kilimtokea?
R.I.E.P. Julie
Alifariki usingizini, apparently blood pressure.

Masikini kaenda kumuangalia mama yake Bulgaria, akitokea Marekani, kafariki huko usingizini.

Sasa Wamarekani wanataka mwili urudishwe Marekani kwanza kabla haujapelekwa Tanzania (mtu wao). Inaonekana mwili wa Julie kurudi bongo utachukua muda.

Na huko Tanzania baba ndiyo kashindwa kuhimili habari za msiba, kumekuwa na msiba juu ya msiba.

Inawezekana baba akazikwa kabla ya Julie.

Familia inapitia wakati mgumu sana sasa hivi.
 
Maisha haya..dah
 
RIP comrade!

Niamini kwamba yule padre na wewe mliotangulia ni Mungu TU kapenda na sio vurugu hizi za siasa za kuungana mikono Kwa wagombea wakubwa wakubwa!!

"Mawazo huru TU"
 

Ooh jamani very sad, ndio nilimuona na Mama yao.
Mola awape wanafamilia nguvu kipindi hiki kigumu
 
RIP.

Huyu mzee si amefiwa na binti yake Julie wiki iliyopita tu?

Au ndiyo mstuko wa msiba?
Mi.kweli kabisa....misiba 2 kwa mpigo....Julie mtoto mdogo wake Marehemu pia....utu uzima ....sasa 1938 to Date ....parefu sana apumzike kwa amani zote
 
Ushimen sorry for the loss of your classmate
 
Dah!
 
Enzi hizo kulikuwa na Mwanguku Cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…