cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
RIP Jirani mwema
Mzee Mwanguku alikuwa jirani kabisa Haile Sellaise Rd
Sitasahau lile tukio
Apumzike kwa amani
Hivyo na mimi jirani yenu labda.
R.I.P Mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP Jirani mwema
Mzee Mwanguku alikuwa jirani kabisa Haile Sellaise Rd
Sitasahau lile tukio
Apumzike kwa amani
Mkuu,
Nilisikia Julie amefariki wiki iliyopita, Mzee amefariki kwa mstuko wa msiba au vipi?
Alifariki usingizini, apparently blood pressure.Na aliuwa active Tiktok hadi siku 10 hivi nyuma. Nini kilimtokea?
R.I.E.P. Julie
Maisha haya..dahAlifariki usingizini, apparently blood pressure.
Masikini kaenda kumuangalia mama yake Bulgaria, akitokea Marekani, kafariki huko usingizini.
Sasa Wamarekani wanataka mwili urudishwe Marekani kwanza kabla haujapelekwa Tanzania (mtu wao). Inaonekana mwili wa Julie kurudi bongo utachukua muda.
Na huko Tanzania baba ndiyo kashindwa kuhimili habari za msiba, kumekuwa na msiba juu ya msiba.
Inawezekana baba akazikwa kabla ya Julie.
Familia inapitia wakati mgumu sana sasa hivi.
Alifariki usingizini, apparently blood pressure.
Masikini kaenda kumuangalia mama yake Bulgaria, akitokea Marekani, kafariki huko usingizini.
Sasa Wamarekani wanataka mwili urudishwe Marekani kwanza kabla haujapelekwa Tanzania (mtu wao). Inaonekana mwili wa Julie kurudi bongo utachukua muda.
Na huko Tanzania baba ndiyo kashindwa kuhimili habari za msiba, kumekuwa na msiba juu ya msiba.
Inawezekana baba akazikwa kabla ya Julie.
Familia inapitia wakati mgumu sana sasa hivi.
F4 ya zama hizo Mkuu, ni sawa na current EXPERIENCED Masters Degree Holder...Kwahiyo aliishia form 4 tu na akawa kamishna mkuu wa Jeshi la magereza?
Zamani raha sana.
Mi.kweli kabisa....misiba 2 kwa mpigo....Julie mtoto mdogo wake Marehemu pia....utu uzima ....sasa 1938 to Date ....parefu sana apumzike kwa amani zoteRIP.
Huyu mzee si amefiwa na binti yake Julie wiki iliyopita tu?
Au ndiyo mstuko wa msiba?
YesF4 ya zama hizo Mkuu, ni sawa na current EXPERIENCED Masters Degree Holder...
Ushimen sorry for the loss of your classmateKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992 (Pichani), Simon Amon Mwanguku kilichotokea leo Alfajiri tarehe 28 Julai, 2024 katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza, KMKGM Ukonga, jijini Dares Salaam.
Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia linaendelea kuratibu shughuli zote za mazishi ya Marehemu.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Segerea, Migombani.
==================
Simon Amon Mwanguku ni nani?
Amezaliwa Tukuyu katika Kijiji kinaitwa Bujenga huko mkoani Mbeya mwaka 1938. Alianza Shule ya Masoko mwaka 1948, shule hiyo ilikuwa kilomita kadhaa kutoka Tukuyu, karibu na Ziwa liitwalo Masoko. Alisoma hapo kwa tokea 1948 hadi 1951.
Baadaye alienda Mpuguso Middle School, shule pekee iliyokuwa inaunganisha wanafunzi wa Rungwe nzima. Wakati ule Rungwe ilikuwa ni pamoja na Ileje, Kyela, na sasa Halmashauri ya Busokelo.
Baada ya Mpuguso Middle School alikwenda Malangali mkoani Iringa mwaka 1954 na mwaka 1960 alimaliza Darasa la 12.
Wakati akiwa Malangali, alikutana na watu wawili ambao walikuwa ni inspekta wa polisi, kwa udadisi yeye na wenzake wakawauliza kuhusu utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Polisi. Na kilichowavutia hadi kuuliza ilikuwa ni ‘smartness’ ya mabwana wale.
Baadaye alikwenda kujiunga na mafunzo na mwaka 1961 alijiunga na Jeshi la Magereza. Alipita vyeo kadhaa katika jeshi hilo lakini safari yake ya uongozi ndani ya jeshi hilo ilianza mwaka 1967, mkoani Morogoro.
SAFARI YA UONGOZI
- Mkuu wa Gereza Wami – (1967)
- Mkuu wa Gereza la Molo, Sumbawanga (1967 – 1976)
- Mkuu wa Gereza Moshi (1976-1979)
- Kamishna wa Jeshi la Magereza (1979 – 1983)
- Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza (1983 – 1992)
Hajapishana sana na Biden1938 Huyu alishuhudia vita ya pili na ya kwanza ya dunia.. Huyu alishuhudia kuanzishwa kwa taifa la Israel
Apumzike kwa aman
Dah!Alifariki usingizini, apparently blood pressure.
Masikini kaenda kumuangalia mama yake Bulgaria, akitokea Marekani, kafariki huko usingizini.
Sasa Wamarekani wanataka mwili urudishwe Marekani kwanza kabla haujapelekwa Tanzania (mtu wao). Inaonekana mwili wa Julie kurudi bongo utachukua muda.
Na huko Tanzania baba ndiyo kashindwa kuhimili habari za msiba, kumekuwa na msiba juu ya msiba.
Inawezekana baba akazikwa kabla ya Julie.
Familia inapitia wakati mgumu sana sasa hivi.
Ya kweli hayo?Sio mnyakyusa huyo.
Enzi hizo kulikuwa na Mwanguku Cup.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992 (Pichani), Simon Amon Mwanguku kilichotokea leo Alfajiri tarehe 28 Julai, 2024 katika Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza, KMKGM Ukonga, jijini Dares Salaam.
Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Familia linaendelea kuratibu shughuli zote za mazishi ya Marehemu.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Segerea, Migombani.
==================
Simon Amon Mwanguku ni nani?
Amezaliwa Tukuyu katika Kijiji kinaitwa Bujenga huko mkoani Mbeya mwaka 1938. Alianza Shule ya Masoko mwaka 1948, shule hiyo ilikuwa kilomita kadhaa kutoka Tukuyu, karibu na Ziwa liitwalo Masoko. Alisoma hapo kwa tokea 1948 hadi 1951.
Baadaye alienda Mpuguso Middle School, shule pekee iliyokuwa inaunganisha wanafunzi wa Rungwe nzima. Wakati ule Rungwe ilikuwa ni pamoja na Ileje, Kyela, na sasa Halmashauri ya Busokelo.
Baada ya Mpuguso Middle School alikwenda Malangali mkoani Iringa mwaka 1954 na mwaka 1960 alimaliza Darasa la 12.
Wakati akiwa Malangali, alikutana na watu wawili ambao walikuwa ni inspekta wa polisi, kwa udadisi yeye na wenzake wakawauliza kuhusu utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Polisi. Na kilichowavutia hadi kuuliza ilikuwa ni ‘smartness’ ya mabwana wale.
Baadaye alikwenda kujiunga na mafunzo na mwaka 1961 alijiunga na Jeshi la Magereza. Alipita vyeo kadhaa katika jeshi hilo lakini safari yake ya uongozi ndani ya jeshi hilo ilianza mwaka 1967, mkoani Morogoro.
SAFARI YA UONGOZI
- Mkuu wa Gereza Wami – (1967)
- Mkuu wa Gereza la Molo, Sumbawanga (1967 – 1976)
- Mkuu wa Gereza Moshi (1976-1979)
- Kamishna wa Jeshi la Magereza (1979 – 1983)
- Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza (1983 – 1992)
NdiyoYa kweli hayo?
Form four ya Cambridge si sawa na ya leo kiboko. Ile ilikuwa ni shahada.Kwahiyo aliishia form 4 tu na akawa kamishna mkuu wa Jeshi la magereza?
Zamani raha sana.
Kama si mnyakyusa ni kabila gani?Ndiyo