Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyoPongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Mh John Pombe Magufuli kwa kumuwezesha Msuva kufika huko Ureno. JPM for life!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wamefanya nini, kuna mtu kasema CCM ndo wamewezesha hujamuona?Yanga oyeeee
Yanga wamemkomaza mechi kibao za CAFYanga wamefanya nini, kuna mtu kasema CCM ndo wamewezesha hujamuona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea kasajiriwa na benfica ila itampeleka kwa mkopo kwenye club ya panathiacos ya nchini ugiriki kwa mkataba wa miezi sitaMchezaji wa Tanzania anayekipiga Diffa al Jadid amesajiliwa rasmi na timu ya Benfica ya Ureno.
Source Wasafi TV.
Hongera sana mpambanaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwake Msuva.. kwa dau la ngapi mkuu?
Bila shaka Yanga wana% yao hapa
N
Naongezea kasajiriwa na benfica ila itampeleka kwa mkopo kwenye club ya olympiacos ya nchini ugiriki kwa mkataba wa miezi sita
Mkuu ungemsoma vizuri sidhani kama anamaanisha alichocommentNilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app