Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
MICHEZO: Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benifica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadidi

Amesema ataanza kuitumikia Benfica Julai 2020 na sasa anaenda kwa mkopo katika klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki

Source Wasafi TV.

Hongera sana mpambanaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha afanikiwe jamaa amepigana sana na vilevile itakuwa chachu kwa vijana wadogo wawe na usongo wafuate nyayo zake.
Ukienda maeneo kama kigoma, Moro kuna watoto Wapo underground wana talents za kutosha ila hakuna mtu wa kuwachukua .
 
Back
Top Bottom