Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn
media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu
kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake
Sent using Jamii Forums mobile app