Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn

media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu

kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msuva na samatta si ajabu kufika huko mengine ni mipango ya mungu tu!! Amatuseme msuva alikuwa anasubiri tiki ya mungu tu! Sababu alikuwa anaonesha anahitaji kufika huko! Alikuwa na njaa ya mafanikio! Huwez fananisha na kina ngasa, ndugu zetu ajibu, mkude na wengineo wengi! Wao tayari wanaonekana ndio wameshafika pale walipo!! Mengine itokee tu zali la mtende na wengine hayo mazali wamekuwa wakiyakimbia

Kila la kheri kwake.
Yupo Gadiel Michael anaonekana anajituma pia na Mohamed Hussein

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amenunuliwa na Benfica ila wanampeleka kwa mkopo club ya olympiakos ya Greece
Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn

media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu

kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samatta amekutwa na nini??..... nadhan atakuwa hakufuatilia historia za wachezaji wenzake wa kiafrika!....

benfica ni mahali sahihi sana kama njia ya kuvuka kuelekea big five, sijui umri wake ukoje aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Simon msuva amezaliwa 01 October 1993. Bado ana muda mzuri wa kucheza kuliko samatta.. mwenye 29.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao wa Oktoba mpaka Desemba wengi wamechukua simu toka Lumumba kwa kazi maalumu.
IMG_20191214_191953.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki zako kwa mtu aliyekuzidi Kila kitu zitakufikisha wapi?
Usiongee kwa kujipendekeza utafikiri anakufahamu..!! Sema ananizidi kipato na kucheza mpira..vinavyobaki namzidi kila kitu kuanzia elimu,umri mpaka akili.

Najua kanuni za kucheza uingereza kuliko hata wewe popoma..mchezaji mwenye umri km samatta,kucheza EPL na unatoka nchi ambayo ipo nafasi ya 135 kwenye viwango vya fifa,inabidi uwe na kiwango kikubwa sana cha kucheza soka kuzidi wazawa wa hapo..

Au angalau wajue ulitengenezwa wapi..yaani utoke kwenye academy ambayo wao wanaijua..!! Huyo mbwana pamoja na kucheza nje hajui hivyo vitu..yeye alidhani kubadili wakala kutamuwezesha kwenda epl.

Elimu bila kipato ni ujinga.kwani asipocheza EPL wewe utapungukiwa au utafaidika Nini?
 
RASMI: Simon Msuva atua Benfica
Bongo5.com

Mshambuliaji wa Tanzania na klabu ya Difaa El-Jadidi ya nchini Morocco, Saimon Msuva amesaini Mkataba wa miaka mitatu (3) kuitumikia timu ya amethibitisha kuwa Msuva Benfica inayoshiriki ligi kuu nchini Ureno.
IMG_20200107_202724_227-300x300.jpg

Lisha ya kandarasi hiyo nyota huyo wa @taifastars atapelekwa kwa mkopo wa miezi sita katika klabu ya Panathiakos ya Ugiriki.
 
W
Wa yanga akienda ureno,wa simba anaenda EPL.
Akienda hivyo vitimu hata Europa league atatazama kama sisi...Alafu namba anayocheza Msuva ni rahisi kuchezea timu kubwa kuliko ya Sama goal...
 
Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn

media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu

kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubariki mkuu,moja ya comment bora kabisa tangu wiki hii ianze.
 
Back
Top Bottom