Simon Msuva apewa mkono wa kwaheri na JSK

Mie nilimpenda James Rodriguez lakini football imemkataa mapema mnoo.

Sijui yuko team gan kwa sasa, Lol.
 
Mie nilimpenda James Rodriguez lakini football imemkataa mapema mnoo.

Sijui yuko team gan kwa sasa, Lol.
Kweli kabisa James Rodriguez mpira ulimkataa ghafla.... Kombe la dunia alikiwasha sana akawa superstar mkubwa duniani, madrid wakamsajili ndipo mpira ukaanza kumkataa mpaka leo..... Sasa hivi anacheza ligi ya brazil timu ya sao paulo
 
Duuh maskini James ameshine kipindi kifupi mnoo ktk carrier ya football.
 
Ila kama Yanga walimrudisha tena Morrison mbali ya kutuvua nguo kiasi kile ndio tutashindwa kumchukua msuva? Au umesahau kisa cha metacha kuwatoa akili mashabiki wa yanga jukwaani na baadae akarudishwa tena?
 
Umri atulize boli atafute Timu ndogo ya home maisha yaendelee Marcelo katulia zake Brazil huko anakiwasha hizo Timu zinataka matokeo hasa ya kombe la CAF ni ngumu sana kudumu ikiwa Tau hapo Al Ahly nae ataondoka tu kwa sababu ya umri na matokeo ya Timu..
 
Umri halisi wa msuva ni miaka 32 mbona bado sana ! Atleast akifikisha 35 angalau

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Yani kwamba, mimi na Msuva, mkubwa mimi, sio?
Nimeanza kumsikia msuva akicheza tangu nikiwa shule form two, na mpaka leo nina wauni wangu watatu, ndio msuva bado anamiaka 32?
Yah, soccer la bongo sio poa.
 
Kweli kabisa James Rodriguez mpira ulimkataa ghafla.... Kombe la dunia alikiwasha sana akawa superstar mkubwa duniani, madrid wakamsajili ndipo mpira ukaanza kumkataa mpaka leo..... Sasa hivi anacheza ligi ya brazil timu ya sao paulo
James wa Chelsea naye pia anaujua mpira na kuupenda lakini mpira unamuandama kila siku kwa majeruhi yasiyokoma, sasa hivi ameamua liwalo na liwe kufanyiwa upasuaji kwenye goti.
 
Wabongo na timu zenu za kkoo manzionaga km real madrid vile!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…