dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,692
- 2,312
Uyo nae ajavunja record med kagere kuwa na 24 hii record ataishikilia kwa muda mrefuUongo mkubwa kuliko wote ni ule wa onyango kuwa na 26yrs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo nae ajavunja record med kagere kuwa na 24 hii record ataishikilia kwa muda mrefuUongo mkubwa kuliko wote ni ule wa onyango kuwa na 26yrs
Mie nilimpenda James Rodriguez lakini football imemkataa mapema mnoo.Kuna wachezaji inatokea unawapenda sana lakini mwisho wao unakua sio mzuri.... Siombei kabisa Msuva aende huko....
Kwa Tanzania nilimpenda sana Thomas Ulimwengu lakini roho inaniuma kumwona soka limemkataa na kumgeuka kabisa.... Ulaya nilimpenda Eden Hazard but soka limemkataa mpaka akaamua kustaafu kabisa.. Hii dunia mara nyingine haina fair kabisa.
Sasa hivi katemwa kule bila shaka ni umri na kiwango,halafu sasa hivi ligi ya bongo ndo imenoga, asiposajiliwa na vitimu vya kariakoo dirisha ndogo ndo basiHiv sijui ni kitu gan kinawashinda watu kujizuia katika mazungumzo?
Kweli kabisa James Rodriguez mpira ulimkataa ghafla.... Kombe la dunia alikiwasha sana akawa superstar mkubwa duniani, madrid wakamsajili ndipo mpira ukaanza kumkataa mpaka leo..... Sasa hivi anacheza ligi ya brazil timu ya sao pauloMie nilimpenda James Rodriguez lakini football imemkataa mapema mnoo.
Sijui yuko team gan kwa sasa, Lol.
Duuh maskini James ameshine kipindi kifupi mnoo ktk carrier ya football.Kweli kabisa James Rodriguez mpira ulimkataa ghafla.... Kombe la dunia alikiwasha sana akawa superstar mkubwa duniani, madrid wakamsajili ndipo mpira ukaanza kumkataa mpaka leo..... Sasa hivi anacheza ligi ya brazil timu ya sao paulo
Samata atakuwa na miaka 39Wabongo kwenye kujipunja umri sasa??
Yan samata awe na miaka 29 kwel?? [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata timu ya taifa ya Columbia hana uhakika wa kuitwa km zamani.... Mara aitwe mara asiitwe.Duuh maskini James ameshine kipindi kifupi mnoo ktk carrier ya football.
Ila kama Yanga walimrudisha tena Morrison mbali ya kutuvua nguo kiasi kile ndio tutashindwa kumchukua msuva? Au umesahau kisa cha metacha kuwatoa akili mashabiki wa yanga jukwaani na baadae akarudishwa tena?Alidharau sana kurudi kucheza ligi ya Bongo hasa timu yake ya zamani alipohojiwa tena akaongea kwa kejeli, ..naona itakuwa ngumu kwake sasa timu za maana North Africa kumchukua maana kachuja, kwa alivyoongea nadhani ataona heri aende vitimu kama vipers
Sent using Jamii Forums mobile app
Panga pangua yupo national teamHata timu ya taifa ya Columbia hana uhakika wa kuitwa km zamani.... Mara aitwe mara asiitwe.
Ni juzi Kati kufuzu world cup ndo ameitwa lakini michuano mingine mfano copa america iliyopita alikua anawekwa pembeni, hata ilifika kipindi akawa na beef na kocha... Ingawa kocha mwenyewe amefukuzwa... Just imagine mpaka kitambaa cha u captain akawa anavaa Juan Cuadrado.Panga pangua yupo national team
Timu hazilipwi wala hailipi cashKasha vuna hela nyingi kwa warabu plus ile 2B aliyolipwa na Wydad hayupo kinyonge
Sija kusoma ongeza nyamaTimu hazilipwi wala hailipi cash
Yani kwamba, mimi na Msuva, mkubwa mimi, sio?Umri halisi wa msuva ni miaka 32 mbona bado sana ! Atleast akifikisha 35 angalau
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kagere miaka 31.Uongo mkubwa kuliko wote ni ule wa onyango kuwa na 26yrs
James wa Chelsea naye pia anaujua mpira na kuupenda lakini mpira unamuandama kila siku kwa majeruhi yasiyokoma, sasa hivi ameamua liwalo na liwe kufanyiwa upasuaji kwenye goti.Kweli kabisa James Rodriguez mpira ulimkataa ghafla.... Kombe la dunia alikiwasha sana akawa superstar mkubwa duniani, madrid wakamsajili ndipo mpira ukaanza kumkataa mpaka leo..... Sasa hivi anacheza ligi ya brazil timu ya sao paulo
Wabongo na timu zenu za kkoo manzionaga km real madrid vile!Alidharau sana kurudi kucheza ligi ya Bongo hasa timu yake ya zamani alipohojiwa tena akaongea kwa kejeli, ..naona itakuwa ngumu kwake sasa timu za maana North Africa kumchukua maana kachuja, kwa alivyoongea nadhani ataona heri aende vitimu kama vipers
Sent using Jamii Forums mobile app