Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Good!Sio jibu ya nilichohoji, sikupingi kwa ulichokisema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good!Sio jibu ya nilichohoji, sikupingi kwa ulichokisema.
Kwani wanaingia under flani wakiwa under kweli?Sio under 20 ilikuwa ni under 17 sasa kama 2017 tuseme alikuwa na miaka 17 na miaka 16 imepita jumla atakuwa na 33....hilo la msuva kuwa na miaka 38 ntalikataa mpaka kesho
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sijui nini kinamfanya aitwe stars
soka ya kiushindani hasa mwisho miaka 30Katika soka 38 ni mzee kaka, kutokana na mahitaji ya mchezo wenyewe, söka inahitaji kukimbia sana, nguvu nyingi, akili, stamina ya kutosha pamoja na afya njema, hivyo inahitaji umri kuanzia 17 - 35 atleast, ingawa wapo wachache wanaokipiga mpaka 40, wale walioamua kuachana na nyapu, bia na sigara. Ila in real life 38 bado umri wa kijana kabisa anaejitafuta
Hapana mkuu mimi ni mwehu ndama, kichwa maji mbobezi kwenye mambo ya hovyo,mim ni mwana jf pekee asietumia ubongo wake kufikiri kwa kina, muongea pumba na limbukeni wa mitandao [emoji856]Mtoa mada ni GENTAMICIN au code zangu zinanidanganya ?
" wewe nakufahamu unamiaka 38" . Huu mstari unafungua code za mycin. Anapenda style hio ya uandishi.
Kama ni kweli basi nafaa kuwa shushu wa JF
Samatta record yake ya nyuma ina mbeba na ndio maana, ulaya hawez kukosa timu, samatta amaekuwa top scorer league ya congo misimu 4,amekuwa top scorer caf champions league mara 2, ameshinda caf champions league mara 2, amekuwa mchezaji bora wa ndani wa Africa, amekuwa miongoni mwa top scorers ligi ya ubelgiji, ameshinda kombe la ligi ya ubelgiji, amecheza Aston villa ya uingereza, amecheza uefa champions league, ila msuva amekuwa top scorer ligi ya bongo mara mbili, akaenda diffah Al jadida morocco, baadae wydad, then uarabuni, mwishoni ameenda js kabyle wakamfukuza amejitahidi kwa kiwango chake ila sidhani kama anaweza kuwa kama samatta na wala sidhani kama hata uko nje atapata timu za maanaMsuva yupo na uwezo ikiwa anawaza kuja kucheza yanga atakuwa amefanya maaumizi ambayo sio ya kimantiki , Ila akikosa timu basi arudi tu bongo
Atumie kanuni Kama za samata hakuna kufeli unabidi kukomaa ili ukiachana na soka unakuwa na historia nzuri
Aha! Hizo sifa umejipa au umepewa na wadau ?Hapana mkuu mimi ni mwehu ndama, kichwa maji mbobezi kwenye mambo ya hovyo,mim ni mwana jf pekee asietumia ubongo wake kufikiri kwa kina, muongea pumba na limbukeni wa mitandao [emoji856]
Wadau wananiona hivyo mkuu, ingawa sio kweli mkuu, katika nyuzi zangu nyingi nimekuwa nikishambuliwa kama limbukeni, kichwa maji na mbumbumbuAha! Hizo sifa umejipa au umepewa na wadau ?
Mkuu msuva hana uwezo wowote kwa sasa!Msuva yupo na uwezo ikiwa anawaza kuja kucheza yanga atakuwa amefanya maaumizi ambayo sio ya kimantiki , Ila akikosa timu basi arudi tu bongo
Atumie kanuni Kama za samata hakuna kufeli unabidi kukomaa ili ukiachana na soka unakuwa na historia nzuri
38 hapana,Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
Ana 4638 hapana,
Sai hy Hy tuliyekuwa tunacheza nae Kwa Barongo Kitintale pale Ubungo
Duh 46 yan amzidi mwalimu wake wa mtaani paleAna 46
Mwamba ume_notice kitu ambacho hata Mimi nimekihisi. Naona kabisa uandishi flani wa Mkuu Genta.Mtoa mada ni GENTAMICIN au code zangu zinanidanganya ?
" wewe nakufahamu unamiaka 38" . Huu mstari unafungua code za mycin. Anapenda style hio ya uandishi.
Kama ni kweli basi nafaa kuwa shushu wa JF
Samatta Bingwa mara mbili CAF champions league! Sio mara Moja!?Samatta record yake ya nyuma ina mbeba na ndio maana, ulaya hawez kukosa timu, samatta amaekuwa top scorer league ya congo misimu 4,amekuwa top scorer caf champions league mara 2, ameshinda caf champions league mara 2, amekuwa mchezaji bora wa ndani wa Africa, amekuwa miongoni mwa top scorers ligi ya ubelgiji, ameshinda kombe la ligi ya ubelgiji, amecheza Aston villa ya uingereza, amecheza uefa champions league, ila msuva amekuwa top scorer ligi ya bongo mara mbili, akaenda diffah Al jadida morocco, baadae wydad, then uarabuni, mwishoni ameenda js kabyle wakamfukuza amejitahidi kwa kiwango chake ila sidhani kama anaweza kuwa kama samatta na wala sidhani kama hata uko nje atapata timu za maana