Simon Msuva kubali ukweli, wewe soka la kimataifa basi!

Sijui nini kinamfanya aitwe stars
 
Sio under 20 ilikuwa ni under 17 sasa kama 2017 tuseme alikuwa na miaka 17 na miaka 16 imepita jumla atakuwa na 33....hilo la msuva kuwa na miaka 38 ntalikataa mpaka kesho

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwani wanaingia under flani wakiwa under kweli?
 
Katika soka 38 ni mzee kaka, kutokana na mahitaji ya mchezo wenyewe, söka inahitaji kukimbia sana, nguvu nyingi, akili, stamina ya kutosha pamoja na afya njema, hivyo inahitaji umri kuanzia 17 - 35 atleast, ingawa wapo wachache wanaokipiga mpaka 40, wale walioamua kuachana na nyapu, bia na sigara. Ila in real life 38 bado umri wa kijana kabisa anaejitafuta
soka ya kiushindani hasa mwisho miaka 30
 
Mtoa mada ni GENTAMICIN au code zangu zinanidanganya ?
" wewe nakufahamu unamiaka 38" . Huu mstari unafungua code za mycin. Anapenda style hio ya uandishi.
Kama ni kweli basi nafaa kuwa shushu wa JF
 
Hapana mkuu mimi ni mwehu ndama, kichwa maji mbobezi kwenye mambo ya hovyo,mim ni mwana jf pekee asietumia ubongo wake kufikiri kwa kina, muongea pumba na limbukeni wa mitandao [emoji856]
 
Msuva anahitaji game time tu , bado si wa levo ya kucheza viwanja vya bongo eti mpira ukidunda unaenda pembeni kama sio kulia ni kushoto, Msuva ni talented player anaejituma kuliko wachezaji wote waliowahi kucheza Taifa Stars. Anahitaji kufanya mazoezi zaidi , kucheza bongo bado sana, kwa mawazo yangu hasa nikikumbuka goli alilowapiga Uganda kwao, lilikuwa si goli la kufundishana mavumbini bongo! tuache kumkatisha tamaa tafadhali , maagent wamtafutie timu Saudi Pro League akakipige na kina Ronaldo huko, bongo ni kumpotezea kipaji tu akutane na kina Putin mara sijui Akaminko wamvunje tu maana hawana akili ya mpira ni rafu tu!
 
Msuva yupo na uwezo ikiwa anawaza kuja kucheza yanga atakuwa amefanya maaumizi ambayo sio ya kimantiki , Ila akikosa timu basi arudi tu bongo

Atumie kanuni Kama za samata hakuna kufeli unabidi kukomaa ili ukiachana na soka unakuwa na historia nzuri
 
Samatta record yake ya nyuma ina mbeba na ndio maana, ulaya hawez kukosa timu, samatta amaekuwa top scorer league ya congo misimu 4,amekuwa top scorer caf champions league mara 2, ameshinda caf champions league mara 2, amekuwa mchezaji bora wa ndani wa Africa, amekuwa miongoni mwa top scorers ligi ya ubelgiji, ameshinda kombe la ligi ya ubelgiji, amecheza Aston villa ya uingereza, amecheza uefa champions league, ila msuva amekuwa top scorer ligi ya bongo mara mbili, akaenda diffah Al jadida morocco, baadae wydad, then uarabuni, mwishoni ameenda js kabyle wakamfukuza amejitahidi kwa kiwango chake ila sidhani kama anaweza kuwa kama samatta na wala sidhani kama hata uko nje atapata timu za maana
 
Hapana mkuu mimi ni mwehu ndama, kichwa maji mbobezi kwenye mambo ya hovyo,mim ni mwana jf pekee asietumia ubongo wake kufikiri kwa kina, muongea pumba na limbukeni wa mitandao [emoji856]
Aha! Hizo sifa umejipa au umepewa na wadau ?
 
Msuva yupo na uwezo ikiwa anawaza kuja kucheza yanga atakuwa amefanya maaumizi ambayo sio ya kimantiki , Ila akikosa timu basi arudi tu bongo

Atumie kanuni Kama za samata hakuna kufeli unabidi kukomaa ili ukiachana na soka unakuwa na historia nzuri
Mkuu msuva hana uwezo wowote kwa sasa!
 
Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
38 hapana,
Sai hy Hy tuliyekuwa tunacheza nae Kwa Barongo Kitintale pale Ubungo
 
Mtoa mada ni GENTAMICIN au code zangu zinanidanganya ?
" wewe nakufahamu unamiaka 38" . Huu mstari unafungua code za mycin. Anapenda style hio ya uandishi.
Kama ni kweli basi nafaa kuwa shushu wa JF
Mwamba ume_notice kitu ambacho hata Mimi nimekihisi. Naona kabisa uandishi flani wa Mkuu Genta.
 
Samatta record yake ya nyuma ina mbeba na ndio maana, ulaya hawez kukosa timu, samatta amaekuwa top scorer league ya congo misimu 4,amekuwa top scorer caf champions league mara 2, ameshinda caf champions league mara 2, amekuwa mchezaji bora wa ndani wa Africa, amekuwa miongoni mwa top scorers ligi ya ubelgiji, ameshinda kombe la ligi ya ubelgiji, amecheza Aston villa ya uingereza, amecheza uefa champions league, ila msuva amekuwa top scorer ligi ya bongo mara mbili, akaenda diffah Al jadida morocco, baadae wydad, then uarabuni, mwishoni ameenda js kabyle wakamfukuza amejitahidi kwa kiwango chake ila sidhani kama anaweza kuwa kama samatta na wala sidhani kama hata uko nje atapata timu za maana
Samatta Bingwa mara mbili CAF champions league! Sio mara Moja!?
 
Back
Top Bottom