Nafahamu hilo ila nilikua nazunguumzia wateuliwa wengine the likes ya waandishi wa habari kama Gabriel Zakaria, Mwanamuziki kama Niki Wa Pili na mwanamitindo kama Hoyce Temu na Basila Mwanukuzi.Huyu aliteuliwa na jiwe, pamoja na yule Jokate...hujui hilo?
Haya mambo yalianza tangu enzi za jpm mkuuWateuliwa wengi kwa sasa kama sio waandishi wa habari basi ni wasanii wa mziki na maigizo.
Yaani watu wanaofanana mtazamo.
Sasa hivi ndio wengi.Haya mambo yalianza tangu enzi za jpm mkuu
Ova
Hakuna mwanamke anayechukuliwa kwa nguvu ni tamaa zao tu.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, KIDUMU CHAMA TAWALA. Pambaneni na Hali zenu. ASANTE
Nafahamu hilo ila nilikua nazunguumzia wateuliwa wengine the likes ya waandishi wa habari kama Gabriel Zakaria, Mwanamuziki kama Niki Wa Pili na mwanamitindo kama Hoyce Temu na Basila Mwanukuzi.
Alikuwa muiguzajiSimalenga hajawahi kua mwanamuziki.Hayo mengine watajadili wengine
Hapa unakosea; Kiongozi kutembea na wake za watu ni utovu wa nidhamu na ikithibitika kweli unafanya hivyo UNAFUKUZWA KAZI..Unataka kusema alimteka au??
Na mnaposema anatembea na wake za Watu ni anawateka na kuwabaka au hao wake zenu wanaenda wenyewe??
Ccm huwa inateua watu wa hovyo sana,huyu alikuwa muigizaji leo Kawa DC,Elimu ya kuunga unga,Habari zenu ndugu zangu.
Kuna huyu mkuu wa wilaya ya Songwe ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki anaitwa Simon SIMALENGA.
Alifika hapa Songwe kwa mbwembwe na utoto mwingi tukadhani hajazoea cheo akizoea atajifunza lakini wapi.
Alifika hapa akaifungia bar Moja pale mkwajuni bila sababu kisa tu anamchukia mmiliki.
Anatembea na wake za watu na anawatishia wahusika kuwa hawana Cha kumfanya.
Sasa ameingia kwenye kiini Cha wilaya ya Songwe yaani madini, anawatesa wachimbaji wadogo huku akiwatisha wakisema chochote "ATAWAPOTEZA".
Tunajua wakuu wa wilaya wanaoletwaga sehemu za madini wanaletwaga strategically ili watimize matakwa ya watu Fulani.
Lakini nawashauri Hawa watu (sisi wananchi tunawajua) ambao wanaubia na huu mgodi wa Shanta gold mine, Kama wamemleta huyu mtu asimamie maslahi Yao wajue wamemleta kichaa wataharibu.
Jifunze kwa SABAYA..
Atavuna anachopandaHabari zenu ndugu zangu.

Aibu sanaAlikuwa Cloudz huyo, kutoka kwenye burudani mpaka kuongoza watu sio kazi ndogo, naona CCM siku hizi wanajiokotea tu watu popote walipo.
Ametoka lini rorya? Huyu wa kaole si wa rorya,yule alosoma veta ya india akapata masters kwa wiki tatuHuyo alikuwa mwigizaji product ya Kaole
Huyo wa Rorya ni mwingine alikuwa anatumia jina la MchopangaAmetoka lini rorya? Huyu wa kaole si wa rorya,yule alosoma veta ya india akapata masters kwa wiki tatu
Simalenga ni huyu hapaHuyo wa Rorya ni mwingine alikuwa anatumia jina la Mchopanga
View attachment 2255106
Wanawake wa kiswahili wanaoishi kwa bajeti ya 3000/- kwa sikuUnataka kusema alimteka au??
Na mnaposema anatembea na wake za Watu ni anawateka na kuwabaka au hao wake zenu wanaenda wenyewe??
Ukikua utaelewaUnataka kusema alimteka au??
Na mnaposema anatembea na wake za Watu ni anawateka na kuwabaka au hao wake zenu wanaenda wenyewe??
Acha kubishana na watoto hawaelewiWanawake wa kiswahili wanaoishi kwa bajeti ya 3000/- kwa siku
Unadhani wakishawishiwa hawakubali au walimu na wauguzi wanaorubuniwa kwa kigezo cha kutafutiwa kazi nzuri au kuongezwa daraja, ujue mwanamke ni kiumbe dhaifu basi tu.