Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hao viumbe dhaifu ni hao Wanawake wa huko kwenu, Mwanamke sio dhaifu anayerubunika ni Mtoto na sio Mwanamke kamili mwenye kujielewa.... Mnaoa machangudoa halafu mnawatetea eti wanarubuniwa kwa kua ni dhaifu,Wanawake wa kiswahili wanaoishi kwa bajeti ya 3000/- kwa siku
Unadhani wakishawishiwa hawakubali au walimu na wauguzi wanaorubuniwa kwa kigezo cha kutafutiwa kazi nzuri au kuongezwa daraja, ujue mwanamke ni kiumbe dhaifu basi tu.
Rubbish.