Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

Mengine huwa ni prompted ideas tu kulingana na mada na nyakati. Hazina ukweli wowote. Kama ukiweza kufukua makaburi sehemu mbalimbali ndo utajua kwann naitwa Sexless. Wengi, ikiwemo wewe, wanapata taabu sana kunielewa, na hawatanielewa
ha ha haaaa MMU kule enzi zako.. tukutane kumsikiliza Rais wetu kesho..
 
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpk leo hakuna kinga, ukimwi una nusu karne mpk leo hakuna chanjo, halafu leo miezi 9 tunaambiwa Kuna chanjo ya korona! Rubbish!!

Njia na mbinu zinazopendekezwa kuchukuliwa kuepuka korona hazitekelezeki na zinaongeza tatizo. Tumeona maandamano na mabishano hata ktk mataifa makubwa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na kwingineko wananchi wanapinga makatazo na masharti mbalimbali ya kujikinga na korona yanayowekwa na viongozi wao.

Sasa watanzania wenzangu mnaoshinikiza na kumtaka JPM atoe tamko kuhusu korona naombeni mnijibu. Mnatakaje? Alishasema tumuachie Mungu. Sasa kelele za nn?

Hivi mnataka JPM atangaze kitu gani kifanyike hapa nchini ili kuizuia korona zaidi ya kumwachia Mungu?

Awafungie watanzania ndani? Hawa hawa watanzania wanaokula kwa kufanya umachinga na uchuuzi? Hawa hawa wanaolima na kuvuna ndipo wapate mlo? Hawa hawa wanaochunga mifugo yao kwa kuzunguka nayo maporini? Ulaya kuna zero grazing. Hapa Tanzania na nchi zote za Afrika tutauwa watu na mifugo kwa njaa.

Na ndiyo maana South Africa hali ilikuwa tete, na pale Kenya ulifanyika usanii tu wa kuzuia watu kutoka usiku, halafu mchana kutwa wako majiani. Usanii mtupu. Uganda wamejikanyaga wakashindwa. Usiitolee mfano Rwanda. Kale kanchi ni kadogo sawa na kisiwa cha Unguja ndiyo maana wanagawana gunia kumi za unga kwa siku na zinawatosha.

Halafu hii kunawa nawa, nayo pia Ni ujinga tu. Unanawa halafu unaingia kwenye daladala kubanana? Mnashea kikombe cha maji ya kunywa nyumba nzima? Mnashea kete za bao, kopo la mbege, komoni na wanzuki? Acheni zenu bhana! BTW, kirusi kinauawa kwa kunawa? Sanitizer inauwa kirusi? Unazijua tabia za kirusi?

Virus is immortal. Why? This is because Virus is the RNA/DNA particle. Na ndiyo maana mpk leo ukitaka DNA/RNA ya dinosaurs walioishi miaka milioni150 iliyopita utapata.

Mnataka atangaze watanzania wavae barakoa? Hawa hawa wanaokosa hata leso ya kufutia kamasi? Hawa hawa wanao omba mia tano ya kununua kipande cha muhogo?? Hapa tutasababisha mlipuko wa magonjwa mengine. Maana watu wanaweza kuvaa kitambaa mwezi mzima bila kukifua.

Tumuunge mkono JPM (simtaji kama mheshimiwa rais kwa kuwa ushindi wake ktk uchaguzi wa 2020 mpk siku nakufa sitaukubali), lkn kwenye suala la korona namuunga mkono 100%.

Tuweke pembeni chuki na tofauti zetu zote za kila aina tuangalie uhalisia. Msimamo wa JPM ktk suala la korona unaendana na uhalisia na ndiyo njia bora ya kuifuata. Hayo mataifa yanayojitia kuwafungia na kupiga sanitizer watu wake wamefanikiwa kiasi gani kujikinga na korona?

Halafu hivyo vifo Cha mmoja mmoja vinavyotokea mbona ni kidogo sana kuliko vile vya magonjwa kama malaria, TB, ajali, ukimwi, n.k?? Kwann hivi havihesabiwi??

Wewe mwenye unafuu wa maisha kaa ndani tuache walala hoi tuendelee kuzurura na kupengeana makamasi ili miili yetu ijenge kinga asili dhidi ya korona. (Kajisomee types of immunity, kuna natural na artificial).

Nimemaliza.

Obviously, scientists know too little about this virus! That’s why the do-nothing strategy and the do-something strategy yield almost identical results!
 
Naona umeweka hisia zako zaidi.

Kinachopingwa zaidi ni kauli za "hakuna corona, tumemuomba Mungu akaiondoa"....kuhusu tahadhari basi kila mmoja ataona nini cha kufanya.

Hata huko kwingine wanapingana na hatua zinazowekwa kukabiliana na corona lakini hawakatai kwamba tatizo lipo.

Wakati mwingine hupaswi ukubali tuuu, ukiwaambia watu Corona corona inaogopesha na kushusha kinga kwa kiasi kikubwa sana na wengine watafariki kwa woga tu
 
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpk leo hakuna kinga, ukimwi una nusu karne mpk leo hakuna chanjo, halafu leo miezi 9 tunaambiwa Kuna chanjo ya korona! Rubbish!!

Njia na mbinu zinazopendekezwa kuchukuliwa kuepuka korona hazitekelezeki na zinaongeza tatizo. Tumeona maandamano na mabishano hata ktk mataifa makubwa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na kwingineko wananchi wanapinga makatazo na masharti mbalimbali ya kujikinga na korona yanayowekwa na viongozi wao.

Sasa watanzania wenzangu mnaoshinikiza na kumtaka JPM atoe tamko kuhusu korona naombeni mnijibu. Mnatakaje? Alishasema tumuachie Mungu. Sasa kelele za nn?

Hivi mnataka JPM atangaze kitu gani kifanyike hapa nchini ili kuizuia korona zaidi ya kumwachia Mungu?

Awafungie watanzania ndani? Hawa hawa watanzania wanaokula kwa kufanya umachinga na uchuuzi? Hawa hawa wanaolima na kuvuna ndipo wapate mlo? Hawa hawa wanaochunga mifugo yao kwa kuzunguka nayo maporini? Ulaya kuna zero grazing. Hapa Tanzania na nchi zote za Afrika tutauwa watu na mifugo kwa njaa.

Na ndiyo maana South Africa hali ilikuwa tete, na pale Kenya ulifanyika usanii tu wa kuzuia watu kutoka usiku, halafu mchana kutwa wako majiani. Usanii mtupu. Uganda wamejikanyaga wakashindwa. Usiitolee mfano Rwanda. Kale kanchi ni kadogo sawa na kisiwa cha Unguja ndiyo maana wanagawana gunia kumi za unga kwa siku na zinawatosha.

Halafu hii kunawa nawa, nayo pia Ni ujinga tu. Unanawa halafu unaingia kwenye daladala kubanana? Mnashea kikombe cha maji ya kunywa nyumba nzima? Mnashea kete za bao, kopo la mbege, komoni na wanzuki? Acheni zenu bhana! BTW, kirusi kinauawa kwa kunawa? Sanitizer inauwa kirusi? Unazijua tabia za kirusi?

Virus is immortal. Why? This is because Virus is the RNA/DNA particle. Na ndiyo maana mpk leo ukitaka DNA/RNA ya dinosaurs walioishi miaka milioni150 iliyopita utapata.

Mnataka atangaze watanzania wavae barakoa? Hawa hawa wanaokosa hata leso ya kufutia kamasi? Hawa hawa wanao omba mia tano ya kununua kipande cha muhogo?? Hapa tutasababisha mlipuko wa magonjwa mengine. Maana watu wanaweza kuvaa kitambaa mwezi mzima bila kukifua.

Tumuunge mkono JPM (simtaji kama mheshimiwa rais kwa kuwa ushindi wake ktk uchaguzi wa 2020 mpk siku nakufa sitaukubali), lkn kwenye suala la korona namuunga mkono 100%.

Tuweke pembeni chuki na tofauti zetu zote za kila aina tuangalie uhalisia. Msimamo wa JPM ktk suala la korona unaendana na uhalisia na ndiyo njia bora ya kuifuata. Hayo mataifa yanayojitia kuwafungia na kupiga sanitizer watu wake wamefanikiwa kiasi gani kujikinga na korona?

Halafu hivyo vifo Cha mmoja mmoja vinavyotokea mbona ni kidogo sana kuliko vile vya magonjwa kama malaria, TB, ajali, ukimwi, n.k?? Kwann hivi havihesabiwi??

Wewe mwenye unafuu wa maisha kaa ndani tuache walala hoi tuendelee kuzurura na kupengeana makamasi ili miili yetu ijenge kinga asili dhidi ya korona. (Kajisomee types of immunity, kuna natural na artificial).

Nimemaliza.
Hakuna kitu kigumu kama kuDEAL na Jamii. Tena Jamii hiyo ikiwa imejaa UJINGA na UMASIKINI inakuwa shughuli pevu zaidi.

Hadi sasa siajajua wanaotaka Rais atangaze janga la corona, je lengo lao ni kitu gani? Sijaona hata mmoja anayetoa njia itakayowezesha kumaliza huu ugonjwa kwa asilimia 100.
Unasema hujaona hatammoja alietoa njia za kumaliaza ugonjwa! Kwani Tanzania upo hadi hizo njia zitolewe?
 
Kwani marais wengine wanafanyeje? Kuna mijitu mko na akili za kuku wa kisasa, mtakufa kama mby
 
Wanachofanya kinaondoa corona?

Hivi kuna njia yeyote imefanikiwa kupunguza corona?
 
Umeandika nini sasa wewe zaidi ya kuonyesha chuki za kijinga zisizo na Maana

Jibu hoja, Je? Rais aifunge nchi? Na akiifunga, korona ndio itapotea?

Kwa nini haijapotea huko Ulaya walikojaribu kujifungia?
Na je na akitangaza ipo corona itaondoka? Sijui watu wanakuwa na uwezo gani wa kufikiri kwa kweli.
 
Ndo maana unakujaga na thread mara mwanamke mara mwanaume...

Kwahiyo watu wanakufa na madaktari hata kushindwa kutoa tahadhari Kwa uwazi ndo msimamo sahihi?
Hata watu kuambiana kuna Corona wanaogopa.. ndio msimamo Sahihi?
Mpaka TCRA wanatoa vitisho mtu akitoa taarifa ya Corona wamkamate
 
Chief sasa unataka JPM afanyaje?
Tushambiwa tuvae barakoa, kunawa mikono, tuepuke misongamano isiyo kuwa na lazima.... mambo mengine ni kujiongeza tu

Au mnataka lockdown

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kama hakuna Corona tunavaa Barakoa za nini? Kwanini hataki mamlaka zitangaze tu kuwa Corona ipo ili watu wachukue tahadhari?
 
Acha kujichetua kuna ukimwi, kifua kikuu, malaria na magonjwa kibao yapo ktk jamii mbona hutaki hayo yatangazwe?? Kwann korona?
Ukimwi , kifua kikuu , Malaria na hayo mengine unayotaja hayatangazwi? Wewe ukipata Corona au nduguyo akipatwa na changamoto ya kupumua ndo utapata akili,
 
Kunapotokea kipindu pindu huwa ninaweka wodi nyumbani kwangu ili nijitenge na watu wengine?
Mkuu, mfano wako hausadifu ugonjwa huu wa korona. Kipindupindu njia zake za udhibiti na tiba zinajulikana na kutekelezeka. Corona hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom