Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

Mengine huwa ni prompted ideas tu kulingana na mada na nyakati. Hazina ukweli wowote. Kama ukiweza kufukua makaburi sehemu mbalimbali ndo utajua kwann naitwa Sexless. Wengi, ikiwemo wewe, wanapata taabu sana kunielewa, na hawatanielewa
ha ha haaaa MMU kule enzi zako.. tukutane kumsikiliza Rais wetu kesho..
 

Obviously, scientists know too little about this virus! That’s why the do-nothing strategy and the do-something strategy yield almost identical results!
 

Wakati mwingine hupaswi ukubali tuuu, ukiwaambia watu Corona corona inaogopesha na kushusha kinga kwa kiasi kikubwa sana na wengine watafariki kwa woga tu
 
Hakuna kitu kigumu kama kuDEAL na Jamii. Tena Jamii hiyo ikiwa imejaa UJINGA na UMASIKINI inakuwa shughuli pevu zaidi.

 
Hadi sasa siajajua wanaotaka Rais atangaze janga la corona, je lengo lao ni kitu gani? Sijaona hata mmoja anayetoa njia itakayowezesha kumaliza huu ugonjwa kwa asilimia 100.
Unasema hujaona hatammoja alietoa njia za kumaliaza ugonjwa! Kwani Tanzania upo hadi hizo njia zitolewe?
 
Kwani marais wengine wanafanyeje? Kuna mijitu mko na akili za kuku wa kisasa, mtakufa kama mby
 
Kwani marais wengine wanafanyeje? Kuna mijitu mko na akili za kuku wa kisasa, mtakufa kama mby
Wanachofanya kinaondoa corona?

Hivi kuna njia yeyote imefanikiwa kupunguza corona?
 
Umeandika nini sasa wewe zaidi ya kuonyesha chuki za kijinga zisizo na Maana

Jibu hoja, Je? Rais aifunge nchi? Na akiifunga, korona ndio itapotea?

Kwa nini haijapotea huko Ulaya walikojaribu kujifungia?
Na je na akitangaza ipo corona itaondoka? Sijui watu wanakuwa na uwezo gani wa kufikiri kwa kweli.
 
Ndo maana unakujaga na thread mara mwanamke mara mwanaume...

Kwahiyo watu wanakufa na madaktari hata kushindwa kutoa tahadhari Kwa uwazi ndo msimamo sahihi?
Hata watu kuambiana kuna Corona wanaogopa.. ndio msimamo Sahihi?
Mpaka TCRA wanatoa vitisho mtu akitoa taarifa ya Corona wamkamate
 
Chief sasa unataka JPM afanyaje?
Tushambiwa tuvae barakoa, kunawa mikono, tuepuke misongamano isiyo kuwa na lazima.... mambo mengine ni kujiongeza tu

Au mnataka lockdown

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kama hakuna Corona tunavaa Barakoa za nini? Kwanini hataki mamlaka zitangaze tu kuwa Corona ipo ili watu wachukue tahadhari?
 
Acha kujichetua kuna ukimwi, kifua kikuu, malaria na magonjwa kibao yapo ktk jamii mbona hutaki hayo yatangazwe?? Kwann korona?
Ukimwi , kifua kikuu , Malaria na hayo mengine unayotaja hayatangazwi? Wewe ukipata Corona au nduguyo akipatwa na changamoto ya kupumua ndo utapata akili,
 
Kunapotokea kipindu pindu huwa ninaweka wodi nyumbani kwangu ili nijitenge na watu wengine?
Mkuu, mfano wako hausadifu ugonjwa huu wa korona. Kipindupindu njia zake za udhibiti na tiba zinajulikana na kutekelezeka. Corona hakuna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…