Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wa mwanaume nilishautolea maelezo alikuwa just friend ila niliamua kuvaa uhusika wa mie ili kufikisha ujumbe kwa hadhira but huo wa huyo dada wa miaka 23 ilikuwa ni mimi reality ila hamkunipa ushauri wa muhimu zidi ya kuniona muhuni.Huyu jamaa sjui dada,ana nyuzi za nyuma anasema mara yeye ni kijana wa miaka 29 ana dem wake anashindwa kumpata,mara tena yeye ana miaka 23 anasoma udsm kuna majamaa wawil wanamchanganya,yaan huyu ana jinsia mbili,leo ke kesho me...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Anatuzingua huyuHuyu jamaa sjui dada,ana nyuzi za nyuma anasema mara yeye ni kijana wa miaka 29 ana dem wake anashindwa kumpata,mara tena yeye ana miaka 23 anasoma udsm kuna majamaa wawil wanamchanganya,yaan huyu ana jinsia mbili,leo ke kesho me...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Yes katika hao niliamua kuachana na mmoja yule wa kichuochuo na kuamua kubaki na mmoja ambaye amaekuwa msaada mkubwa kwangu na familia yangu but in reality naona amani inazid kupotea kuelekea kwa ndoa hii.Na unayenambia kuwa nahitaji maombi as if we hujawahi kutenda dhambi au we ni mkamilifu mno.Nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja nyumbani kujitambulisha, nipo njia panda
Mwanzo walikuwa wawili alafu wote huwapendi. Kweli wewe unahitaji maombi, mtafute Gwajima akuombee
Haaahaa! Nimecheka sana baada ya kusoma ule uzi akiwa me! Leo ni ke! Jf rahaaaafu wewe ni muongo sana, kuna uzi uliutoa hapa kipindi cha nyumba ulisema wewe ni kijana wa kiume
Ooh kumbe..Huyu jamaa sjui dada,ana nyuzi za nyuma anasema mara yeye ni kijana wa miaka 29 ana dem wake anashindwa kumpata,mara tena yeye ana miaka 23 anasoma udsm kuna majamaa wawil wanamchanganya,yaan huyu ana jinsia mbili,leo ke kesho me...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Hakuna binadamu aliyekamilika lakini wewe umekubuhu dada, i am sorry, it's too much kwa ulipofikiaYes katika hao niliamua kuachana na mmoja yule wa kichuochuo na kuamua kubaki na mmoja ambaye amaekuwa msaada mkubwa kwangu na familia yangu but in reality naona amani inazid kupotea kuelekea kwa ndoa hii.Na unayenambia kuwa nahitaji maombi as if we hujawahi kutenda dhambi au we ni mkamilifu mno.
Huko kukubuhu kwangu ndo kumeniponza now nimefika hatua nashindwa kujinasuaHakuna binadamu aliyekamilika lakini wewe umekubuhu dada, i am sorry, it's too much kwa ulipofikia
Kwahiyo saivi unaona jamaa alikua msaada amekusaidia wewe na familia yako mpaka umetoboa sasa unajiweza unaona it's time you say bye? Really? Does it make sense to you?
HASA HAPA UMEKUJA KUFUATA NINI UNGEKAA NAYO MOYONI .......ushaona haiwezekani unataka tukupe ushauri gani sasa?tukwambie umuue au ujiue ?Ahsante kwa ushauri but sidhani kama itakuwa rahisi cause kama nilivyoeleza hapo juu ni kipenzi cha wazazi wangu.
Hahahaaa. Inaweza kudumu swahiba ila mwanaume akawa ni mwenye kupata shida ndani ya ndoa kwa kukosa upendo toka kwa mkewe.Hujawahi mpenda lkn mmedumu kwenye uchunba miaka mitano? Amini nakuambia hata hyo ndoa itadumu kwa msaada Mungu, unless kuna kitu umetuficha hujakisema