Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.

But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada zote nilizofanya ili nimpende zimeshindwa kuwork out.

Sasa shida inakuja hivi sasa tupo kwenye process za ndoa lakini ndani ya nafsi yangu naona amani inapotea juu ya hii ndoa yani nazidi kumchukia daily.Nanaona kama nikiiforce hii ndoa kwa kweli nitakuja kuwa msaliti na sitaki kuja kuishi maisha hayo.

Sasa nashindwa naanzia wapi kusema hili jambo maana ni mtu ambaye anapendwa mno na wazazi wangu sasa sijui nitaelewekaje nyumbani na sitaki kupoteza heshima na upendo niliopewa na wazazi wangu na mchungaji wangu tangu utoto wangu kwa ajili ya huyu mtu.

N.B mpaka tunaanza process za ndoa si kwamba niliridhia ila alimtumia mama yangu kama mtego wa kuninasa.
Nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja nyumbani kujitambulisha, nipo njia panda

Bado naendelea kupitia mavi ya kale, then nitakuja kukushauri
 
Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.

But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada zote nilizofanya ili nimpende zimeshindwa kuwork out.

Sasa shida inakuja hivi sasa tupo kwenye process za ndoa lakini ndani ya nafsi yangu naona amani inapotea juu ya hii ndoa yani nazidi kumchukia daily.Nanaona kama nikiiforce hii ndoa kwa kweli nitakuja kuwa msaliti na sitaki kuja kuishi maisha hayo.

Sasa nashindwa naanzia wapi kusema hili jambo maana ni mtu ambaye anapendwa mno na wazazi wangu sasa sijui nitaelewekaje nyumbani na sitaki kupoteza heshima na upendo niliopewa na wazazi wangu na mchungaji wangu tangu utoto wangu kwa ajili ya huyu mtu.

N.B mpaka tunaanza process za ndoa si kwamba niliridhia ila alimtumia mama yangu kama mtego wa kuninasa.
PANGA SIKU MKUTANE GETO UWEKE CHUPI ZAKIUME NYINGI USED AF WEKA PENSI NAHSI ZALI LITAANZIA HAPO ET
 
Nafikri shida bado iko kwako unachangamoto ya kutojitambua,inawezekana hujui unataka nini ? aanza kudeal na ww mwenyewe kwanza
 
Hahahaaa. Inaweza kudumu swahiba ila mwanaume akawa ni mwenye kupata shida ndani ya ndoa kwa kukosa upendo toka kwa mkewe.

Ila kama ulivyosema huenda kuna kitu nyuma ya pazia. Miaka 05 ni mingi sana aisee.
Aisee inashangaza kidogo
 
HASA HAPA UMEKUJA KUFUATA NINI UNGEKAA NAYO MOYONI .......ushaona haiwezekani unataka tukupe ushauri gani sasa?tukwambie umuue au ujiue ?
Mtu mpaka kaja hapa mjue limemfika kooni kuna uzi niliwahi leta kuwa nina wawili but wote siwapendi wengi mlinishauri nibaki na anayenisaidia but katika kusema kuvumilia kumbe ndo nazidi kuivisha jipu .Kumbukeni kuna wakati mtu akija na shida kuieleza anajua atapata msaada na si kejeli kumbukeni wengi hapa tunatumia fake identity na hatujuani japo wapo baadhi najuana nao ila naamini naweza pata cha kunisaidia.
 
Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.

But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada zote nilizofanya ili nimpende zimeshindwa kuwork out.

Sasa shida inakuja hivi sasa tupo kwenye process za ndoa lakini ndani ya nafsi yangu naona amani inapotea juu ya hii ndoa yani nazidi kumchukia daily.Nanaona kama nikiiforce hii ndoa kwa kweli nitakuja kuwa msaliti na sitaki kuja kuishi maisha hayo.

Sasa nashindwa naanzia wapi kusema hili jambo maana ni mtu ambaye anapendwa mno na wazazi wangu sasa sijui nitaelewekaje nyumbani na sitaki kupoteza heshima na upendo niliopewa na wazazi wangu na mchungaji wangu tangu utoto wangu kwa ajili ya huyu mtu.

N.B mpaka tunaanza process za ndoa si kwamba niliridhia ila alimtumia mama yangu kama mtego wa kuninasa.
Usilogwe! Mtasaidiana sana kama mtakaa muongee sasa.. Sio uongee na mama au baba au mjomba au rafiki yake ongea naye yeye... Be civil ..truthful na uwe na busara sana.. Itauma ila atakushukuru milele. Na wewe utakuwa na amani.

Msioane kwa shinikizo..wakimalia kuwashinikiza wao wanakaa pembeni ..kazi kwako.. Wewe huna raha..na huo.ni ugonjwa mbaya unatambaa na kuwa sumu ..nyumba nzima mpaka watoto mtakuwa kama wadudu.. Acha hilo.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

wenalitha asante sana kwa kunipotezea muda wangu na pia kunianika mtandaoni kwamba hunipendi. Umeshindwaje kuniambia mwenyewe kuwa hunipendi hadi nimeanza maandalizi ya harusi na tena yapo katika hatua hatua ya mbele sana. Hii sio fair kwa kweli na mimi nimekupenda kwa moyo wangu wote tumekuwa tukipanga maisha yetu ya baadae na ukinipa tunda bila hiyana, jamani kumbe moyoni una lako jambo. Kweli nimeamini kazi ya Moyo ni Kusukuma damu kupenda ni kiherehere tuuu.

Kesho weekend nakuja nyumbani kuongea na wewe lakini nataka wazazi wako wawepo ili niwaeleze bayana ya kuwa siwezi kuwa au kuoa mke asiyenipenda toka moyoni mwake na haya ameyatamka wazi mtandaoni.

Kwa jinsi ulivyoandika natambua ni wewe kabisa kwani sifa ya mahusiano yetu ndio hiyo.

NB: Nawasilisha kwa niaba ya Muoaji asiyetakiwa ambaye mimi simfahamu kwakweli.
 
Kama ulikuwa humpendi si ungekataa tangu mapema???
Umempa dushelele kwa muda wote hafu leo ndoa ukatae"""
N.b utafanyiwa.....magumu
 
Usilogwe! Mtasaidiana sana kama mtakaa muongee sasa.. Sio uongee na mama au baba au mjomba au rafiki yake ongea naye yeye... Be civil ..truthful na uwe na busara sana.. Itauma ila atakushukuru milele. Na wewe utakuwa na amani.

Msioane kwa shinikizo..wakimalia kuwashinikiza wao wanakaa pembeni ..kazi kwako.. Wewe huna raha..na huo.ni ugonjwa mbaya unatambaa na kuwa sumu ..nyumba nzima mpaka watoto mtakuwa kama wadudu.. Acha hilo.
Ahsante kwa ushauri kati ya wengi atleast umenishauri kuliko wanaobaki kunirushia lawama as if wao wako perfect mno.
 
Kama ulikuwa humpendi si ungekataa tangu mapema???
Umempa dushelele kwa muda wote hafu leo ndoa ukatae"""
N.b utafanyiwa.....magumu
Rejea uzi uliopita kuwa nilikuwa na wanaume wawili.Utapata jibu but inshort nimemfanyia vituko vingi ili tuachane but haijafanikiwa.
 
mwambie ukweli. ila Kama labda amepungukiwa na kitu alichokuwa nacho zamani. ukakipenda. na sasa hana. ndo unataka mwacha. KARMA itakumaliza.. Listen your ♥
 
mwambie mama yako, mwambie muhusika na umwambie mchungaji kwamba hujawahi kumpenda jamaa kabla hujaingia kwenye ndoa, maana jamaa ashajua kwamba humpendi na yeye atakuja kukuonesha kwamba amekujua mda tuu ukiwa tayari katika ndoa, hapo ni wewe ndio utakuwa mtumwa wake...wakati ndio huu wa kufanya maamuzi....ila una tabia mbaya sana.....
 
Ahsante kwa ushauri but sidhani kama itakuwa rahisi cause kama nilivyoeleza hapo juu ni kipenzi cha wazazi wangu.
Sasa si rahisi na ushakubali si rahisi mbona walialia huku. Pambana tu na hiyo hali ingia ndoani ili.umsaliti ili akupe talaka utakuwa umemaliza kazi. Au JIFUMANISHE sasa hivi then hatakuoa
 
Hii thread inazidi kuprove wanawake mnavyoongeza matatizo ya nguvu za kiume....5yrs jamaa angekutana na chaguo sahihi yawezekana hta hyo ndoa ingefungwa ndani ya miaka mitatu....
Umempotezea jmaa mda na familia endapo ukikataa kufunga nae ndoa maana kwake ndo mda sahihi wa kuoa,ukiachana nae saizi ni mpka aanzishe mahusiano na ndoa aje afunge baada ya mahusiano..hyo kazi itammalizia mda mwingi tena

LA MSINGI:kama uliweza kuigiza miaka 5,endelea kuigiza mpka kwenye ndoa,kwenye kushika mimba,kwenye kuzaa mpka mmoja wenu atangulie mbele za haki
 
Back
Top Bottom