Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

Mwambie ukweli tu,usiidhulumu nafsi. Mid nikionaga nafsi imegoma najitoa mapemaa.
 
wenalitha na wewe pia mtumie mama yako kujinasua maana kuolewa na usiempenda ni hatari sana
Sawa kabisa,
Tafuta siku kaa na mama yako, mueleze ukweli kama ulivyoeleza hapa. Au kama uko karibu na baba, ongea nae baba, wababa wanakuwaga karibu sana na kuwaelewa zaidi mabinti zao.. kifupi kama huna raha kuwa muwazi..
 
Ya nini kujitesa mtumie meseji mwambie kuhusu ndoa afanye kuongeza mwaka mwingine akiuliza kwanini mwambie mwaka huu haupo tayari asogeze mbele suala la ndoa,

Mpaka mwisho wa siku atakuwa na shaka na kuhoji kwanini mwambie haupo tayari kwa suala la ndoa.
 
Yaani wanawake sijui mtaacha umalaya Lini.humpendi ila akikupa hela hukatai
Rekebisha kauli mi sio malaya kuingia in wrong relationship humpata yeyote .Na pia sio lazima unijue as if I am prostitute or not kama Mungu wangu akinijua inatosha.
 
Maangamizi au masumbuko kwenye maisha yetu huanzia pale tunapojikwaa kwenye kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi......

Unapotakiwa kufanya maamuzi yanayo au yatakayo yagusa maisha yako moja kwa moja ,mtu pekee unayetakiwa kumpa kipaumbele ni WEWE kwa kiwa wewe ndio utakayekuwa muwajibikaji wa kwanza wa jambo lolote ulilolitolea maamuzi.......

Ndoa ni moja ya jambo nyeti linalokuhusu wewe binafsi na sio mtu mwingine....wewe ndio mhanga wa kwanza wa ndoa yenye migogoro na mahangaiko....wewe ndio mhanga wa. Kwanza wa ndoa iliyojaa mateso na manyanyaso wewe ndio mhanga wa kwanza wa ndoa iliyokosa furaha..........lakini yote hayo ya naweza kuzuiwa na wewe kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati muafaka......

Kwa kipindi hiki ndio unatakiwa ujue kuwa wewe ndio umeshikilia funguo na huzuni kwenye maisha yako....

Kwa kipindi hik ndio unatakiwa ujue kwanini wewe ni mtu mzima na sio mtoto tena.......

Kwa kipindi ndio unapaswa kuwaonyesha wazazi wako kuwa wewe umeshakuwa mkubwa na unatakiwa kufanya maamuzi yanayohusu maisha yako bila ya kuingiliwa......

Busara zako pekee kwenye kufanya maamuzi ndizi zitakazokuvusha salama kwenye mtego huu......

NB;

Hakuna kitu kigumu kwenye maisha kama kuishi na mtu ambaye huna furaha naye.....

Ni sawa kuishi kwenye gereza lenYe starehe za kila aina.......
Ahsante sana kwa ushauri ndugu yangu.
 
Huyo atakuwa amefulia hana hela tu., ss umempata anaekuhonga ndo unatafuta justification za kummwaga shenz type!
Wewe wasema.Nilipotoka naye na tulipofika napajua mimi ingawa alikuwa ana uwezo wa kawaida but hakuwa mtu wa kuwaza maendeleo but nimejitahidi kumtengeneza hata kama naamua kumuacha but naamini nimefanya kiasi kikubwa kumtengenezea mwanamke mwenzangu mume.Cause hata yeye kuamua kuokoka hizo ni effort zangu hata kwa hilo najipongeza tu .
 
Umempotezea jamaa muda wake!! Kwanini umekaa tuu hadi taratibu za ndoa ilhali hukua na upendo juu yake?

Mijiwanawake mingine sijui ikoje!!
Inashauriwa kuoa mwanamke unayekupenda hawa wa kusukumiziwa ni shida sana mkuu.
 
Miaka mitano yote umempotezea Kaka wa watu!!Mungu akusaidie
 
Fanya kile moyo unakutuma ufanye. Ingaw ulikosea sana muda wote huo kukaa na mtu ambaye humpendi na yeye anakupenda. Utamuumza sana mwenzio
 
Huyu jamaa sjui dada,ana nyuzi za nyuma anasema mara yeye ni kijana wa miaka 29 ana dem wake anashindwa kumpata,mara tena yeye ana miaka 23 anasoma udsm kuna majamaa wawil wanamchanganya,yaan huyu ana jinsia mbili,leo ke kesho me...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Kama yuko hivi, atakuwa choko. Maana machoko ya humu jamvini mada zao ni utata mtupu.
 
Kmkm ....!! Miaka mitano unampotezea muda...ni heri umwambie tu hata kwa sms na kaa ukijua anayekufua kwa sasa na ww atakuja kukumwaga kama dagaaa kmkm.
 
Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.

But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada zote nilizofanya ili nimpende zimeshindwa kuwork out.

Sasa shida inakuja hivi sasa tupo kwenye process za ndoa lakini ndani ya nafsi yangu naona amani inapotea juu ya hii ndoa yani nazidi kumchukia daily.Nanaona kama nikiiforce hii ndoa kwa kweli nitakuja kuwa msaliti na sitaki kuja kuishi maisha hayo.

Sasa nashindwa naanzia wapi kusema hili jambo maana ni mtu ambaye anapendwa mno na wazazi wangu sasa sijui nitaelewekaje nyumbani na sitaki kupoteza heshima na upendo niliopewa na wazazi wangu na mchungaji wangu tangu utoto wangu kwa ajili ya huyu mtu.

N.B mpaka tunaanza process za ndoa si kwamba niliridhia ila alimtumia mama yangu kama mtego wa kuninasa.
Yaaan miaka mitano real!!!? Halafu unataka kumwacha kirahisi rahisi hivi, i wish nimjue huyo mwanaume mwenzangu nimshauri kitu, wewe mwanamke mbinafsi saana.

Kama ungenifanyia hvyo mm ningekufanyia kitu kibaya ambacho hungekuja kunisahau, haiwezekani miaka 5, halafu et humpend. Si ajabu umekula hela zake vya kutosha!
 
Na akamzungusha kwa muda usiozidi miaka sita, ilihali mapenzi hayakua ya dhati. Basi na wazazi wakamkubali na hatua zikachukuliwa. Naye binti yule akaanza kutafuta njia, Loh! Aibu itajisambaza na kumpa maumivu.

Mapenzi, 5:78.
 
Umempotezea jamaa muda wake!! Kwanini umekaa tuu hadi taratibu za ndoa ilhali hukua na upendo juu yake?

Mijiwanawake mingine sijui ikoje!!
aiseeee vitu vingine nivyakustaajabisha...
miaka 5 yote MTU anakula PAPA ..kumbe hata haumpndi ..sasa mnapokuwa kwa bed hizo feeling za kumpanulia miguu alikuwa anazitoa wapi...
Hawa ndio ambao huwa tunaskia kuwa wamechinjwa...usikute hapo kesha muingiza Jamaa hasara kibao tena zile zakuchekwa mpka na kuku..then afterall anakuja kusema kuwa hampndi..hahaaa
 
Yes katika hao niliamua kuachana na mmoja yule wa kichuochuo na kuamua kubaki na mmoja ambaye amaekuwa msaada mkubwa kwangu na familia yangu but in reality naona amani inazid kupotea kuelekea kwa ndoa hii.Na unayenambia kuwa nahitaji maombi as if we hujawahi kutenda dhambi au we ni mkamilifu mno.
kwani usipo kuwa mkamilifu ndio inaleta mantiki yakutokumwambia mtenda maovu ambaye nae hana sifa ya ukamilifu pia ..KUWA ANAHITAJI MAOMBI
 
Wewe wasema.Nilipotoka naye na tulipofika napajua mimi ingawa alikuwa ana uwezo wa kawaida but hakuwa mtu wa kuwaza maendeleo but nimejitahidi kumtengeneza hata kama naamua kumuacha but naamini nimefanya kiasi kikubwa kumtengenezea mwanamke mwenzangu mume.Cause hata yeye kuamua kuokoka hizo ni effort zangu hata kwa hilo najipongeza tu .
Ok., vizuri sana, kwahiyo wewe jukumu lako hiyo miaka mitano lilikuwa ni kumtengenezea Mwanamke mwenzio Mume? Inakuaje hv ss ndo umemtengeneza amekuwa Mume ww ndo unataka kumuacha kama si uhayawani huo? Au hv sasa umejivisha jukumu la kutengenezea Wake wenzio Husband material? By then kwa mujibu wa Uzi wako hoja yako ya Msingi ni;
"Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.

But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada zote nilizofanya ili nimpende zimeshindwa kuwork out"
Hivi ss unadai unamuacha kwakuwa hakuwa Mtu wa kuwaza maendeleo Unajielewa kweli ww?
NB: Hebu tolea ufafanuzi wa wewe kuwa She male kama Wadau walivyokushutumu hapo juu nisije kuwa najibizana na Punga hapa!
 
Angalia kama yy anakupenda na sio ww kumpenda maana siku hizi kumpata atakaye kupenda ni kazi sana tena ogopa sana ww upende utajuta maisha bora upendwe ww
well said...
ktk huu ulimwengu wenye element za tabia ya farao..usithubutu kumpnda MTU..ila MPE nafasi anayekupnda na kuwa wako..
 
Back
Top Bottom