Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

5yrs....eti humpendi...au vyuma vimekaza kwa jamaa...unajifanya humpendi ili tu umuache. ....mwambie tu. ..atapata wa kumpenda alivyo bibii weee
 

Miaka mitano unajifunza, ama kweli ndoa PHD.
 

UJAONGEA YOTE, SEMA NA IDADI ZA FEDHA ZAKE WEWE NA MAMA YAKO MLIZOKULA?!
 
nimekuelewa sana mkuu
 
Hiyo ndiyo shida ya uzinifu na kutafunwa kabla hujaolewa.Sasa unataka uachane naye ukampelekee kiporo mtu mwingine?Alipe mahari kabisa ili ukienda kuolewa na mtu mwingine uwe umeshalipiwa wazazi wako wasidai kitu.Heri ukweli unao uma unaosemwa sasa kuliko uwongo unaofariji kwa mda mrefu.
 
kama mbwai iwe mbwai....mwenzio nilirudisha na Mali kabisa...wazazi nao shida sana
 
Hiyo kazi ndogo tu chukiwa huu ushauri wangu na nakuahidi mama yako asipo kuelewa na hapo basi huyo mama yako mgawe bure :

Mwaambie mama yako kuwa jamaa ana Uume mkubwa kuliko kawaida na umekuwa ukipata maumivu makali kila unaposhiriki naye tendo la ndoa mbaya kuliko zote Jamaa anataka kukuingilia kinyume na Maumbile kila mara anakushawishi kufanya hivyo.

Hivyo hauta weza kuwa naye na kufunga ndoa naye ndoa kwa sababu hizo kubwa mbili

Akikuuliza kwa nini ulidumu naye kwa miaka mitano Mwaambie mlikuwa mnafanya tendo la ndoa mara chache chache.

Ukithubutu tu kuyasema hayo
Niadalie kabisa shukrani yangu kwani hapatakuwa na ndoa hapo.
 
Kosa la kwanza ulilo lifanya ni kushindwa kufanya maamuzi na msimamo wako siku ile ya kwanza ulipo mkubaria. Niaheri ungemuweka wazi asinge sumbuka kiasi hicho. But ndivyo dunia ilivyo kumpenda asiye kupenda hiyo inaitwa kulazimisha maisha ya upendo ili siku zipite.
 
Sikiliza moyo wako, jua hayo ni maisha yako hakuna atakayekuja kukupa amani wakat amani inakutaka wewe mwenyewe uiandae, Angalia maslah yako. Fanya roho yako inachopenda usikubali kwa sababu jamii yako labda itakuonaje, no hayo ni maisha usifanye kama kupata katiba ya nchi. ambayo kila raia anatakiwa kutoa maoni
 
Sina la kusema kwakweli dah! Maana nahisi kama ungekua Mimi kichwa kingewaka moto nikijua for 5 years eti kumbe hupendwi. Eneway mwambie tu kuwa humpendi yeye ndo atafanya maamuzi kama anakuoa hivyo hivyo ama anabadili mawazo.
 
Mahali washalipa na nimepanga nitairudisha.
 
Yaani kama kuna watu hawapo serious ni pamoja na mtoa mada...yaani ukae ma mtu mwaka mmoja hadi mitano humpendi? Mpaka mmeanza mipango....aaaah utamkumbuka huyo na umakamo wako
 
Mimi ni binti na watu wa jf baadhi nishawahi kutana nao na kuhusu huo uzi wa huyo kaka nahisi nishatoa ufafanuzi rejea post zilizopita
 
kama mbwai iwe mbwai....mwenzio nilirudisha na Mali kabisa...wazazi nao shida sana
Ahsante my dear nitasikilza baadhi ya shauri zenu.Maana mwisho wa siku nitateseka mwenyewe na si yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…