Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asante Mkuu The Boss , kwa kunitetea, kiukweli humu ninakula sana za uso, na kupigwa spana za kufa mtu, thanks for coming to my defense.Najaribu kuona Pasco anahusikaje nashindwa kabisa....au tumemgeuza punching bag humu?
Pia because you have the powers, naomba support yako kwenye jambo langu hili Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
P