Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli kwa kutumia IJ.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli ka binti kalibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile! Wakati usikute the reality, tukio limetokea kweli ila ni consensual act, kisha binti akamgeuzia kibao RC kuwa amebakwa kwa lengo la kum fix Dr. Nawanda, ama kum blackmail aongeze dau, au kutumika for dirty games za politics.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza kwa haka ka binti kuwa involved kwenye matukio kama haya,
Angalia details za issue hii.
Paskali
Pia soma:
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi
- Yahaya-Tumsime Scandal and a challenge of rehabilitating the victims of anal rape and protecting survivors in Tanzania: A Ministerial Policy Brief

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form II St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"! Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo mapema?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, hivyo waliposhindwa kukubaliana bei, ka binti kakatishia blackmail na kwenda kukishitaki ili kumtisha tuu, ilipo leak, ka binti kakaandika barua kufuta tuhuma, kumbe jinai haifutiki kirahisi hivyo.
- Pia kuna uwezekano mkubwa sana ka Binti kalisetiwa, for ill motives, kupitia kitu kinachoitwa "honey trap", Dr. Nawanda akaingia line kichwa kichwa, mazima, na kunaza kwenye mtego, kwa kabinti kushitaki kubakwa. Ama kweli "penye urembo ndipo penye ulimbo!" RC amenasa kwenye ulimbo!
- Baada ya binti kukubali kutumika na kuripoti tukio, akajikuta ni yeye ndiye anachafuka zaidi na anajiharibia CV yake, ndipo akataka kufuta kesi.
- Kwenye issue ya wasiojulikana, jeshi letu la polisi wameshindwa, nikasema humu, sisi media tunaweza Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
- Kwenye shambulio la Tundu Lissu niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu, hii ni IJ ndogo tuu na simple, hata mimi na PPR yangu tungeifanya, ila its very unfortunately, mimi na PPR, tumejikita kwenye habari za kimaendeleo tuu!