KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Sidhani kama kama marinda. Hakuna cha kufumua hapo.Ila km sio kweli hako kabinti waje wakale mande tena wakafumue malinda hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kama marinda. Hakuna cha kufumua hapo.Ila km sio kweli hako kabinti waje wakale mande tena wakafumue malinda hasa
Huyo binti ni malaya
Kusoma tu hii mistar, na kichwa cha mada husika inaondoa hamu ya kuendelea na hiyo mistari mingine huko chini.Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukwel
La haulah! Tuhuma nzito hizo.Hii iko wazi kuwa wametegana wenyewe kwa wenyewe huko CCM ili kumalizana...
Huyu amekorifisha sehemu, wahuni na wafiraji wenzake huko CCM na serikalini wameamua kumuacha afe kivyake..!
Ingekuwa siyo hivi tunavyofikiri, mbona hili nalo lingefukiwa chini ya carpet na mzigo kutupiwa CHADEMA kuwa ndiyo wamemtuma huyo binti kuichafua serikali "nzuri ya CCM???"
CCM na viongozi wengi wa serikali ni aidha wasagaji, wabakaji, wafiraji, wafwiraji na wapenda kulawiti. Ila huyu nadhani amekosea sehemu na hayawani wenzake wameamua afe kivyake...!
Asante sana ...Kuna mmama ni mkuu wa shule anaposoma Binti ndo alisimama na Mimi mwanzo mwisho kwamba sio kweli wananionea ndo ikawa pona pona yangu...yaani yule mama mpaka Leo ni best yangu sana nampenda sanaPole Sana mwanakwetu. Hii sheria inawaumiza Sana wanaume kwani hata ukisingiziwa na wajanja mashahidi wa mchongo una hatari ya kuangukiwa na mvua thelathini.
Katakuwa kanatumika !Unless kama kapo kwenye payroll otherwise mwisho wake ni mbaya sana.
Bandiko la maana kabisa na lenye mrengo wa kisheria hili.Mbona unampokonyoa huyo binti kiasi hicho, komredi Paskali? Umemwita huyo dada kabinti mwanzo mwisho!
Je, huo kweli ni oprofeshono wa tasnia ya uandishi wa habari na sheria?
Nilijua kila mtu anadhaniwa asinati hadi athibitishwe ana hatia?
Umesema ndiye alisababisha bodaboda akafungwa jela miaka 30, ila usisahau kwamba huyo dada hakuwa hakimu wa kesi. Yeye alikuwa shahidi tu.
Je, unadhani mahakama ilifanya makosa kwenye ile kesi?
Wazazi wanapiga maokoto kupitia bintii?Nakajua Hako kasichana halfu shida Kubwa sio Yeye Shida ni Wazazi wake
Hapa mzee wangu wewe umechemka isee kama nsio mnaandika hivi sababu ya njaa basi tunasafari ndefu sana kama taifa.Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Yeah maana Hii ni kesi ya sita Tangu amezaliwa..Wazazi wanapiga maokoto kupitia bintii?
Bethi Dei patyi, CASK. Hujaiona hiyo? Mtu mzima toka mkoa wa Jirani kaalikwa kuwa mgeni rasmi kwenye hiyo patyi.Nawanda na hako kabinti ka miaka 21 walikutana wapi hadi wakafahamiana?
Tuanzie hapo 🐼
Aisee,Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Hii kazi ya uandishi wa habari imedhalilishwa sana siku hizi.Hapa mzee wangu wewe umechemka isee kama nsio mnaandika hivi sababu ya njaa basi tunasafari ndefu sana kama taifa.
Tena hiyo ni skanka kabisa.
Yaani kisheria kwa picha hiyo tu unaweza kum-discredit on stand shahidi.Tena hiyo ni skanka kabisa.