Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Nawanda ni sample nzuri ya viongozi wa serikali na vyama vya siasa Tanzania hasa CCM.Wengi wapo hivyo,wana tabia za ajabu sana.
 
Watu wengi wanashabikia na kuaminishwa kwamba huyo Mhe. Alifanya hiyi kitu, ila ukitafakari kwa kina sana maelezo ya huyo binti na mazingira utagundua ni siasa za kuchafuana na huyo binti alitumika
Ila kwa namma ya na hulka ya Nawanda, lazima alijizolea maadui haswa kwenye media.

Jamaa amewahi kuwafukuza waandishi wa habari kwenye ziara yake.

Huenda wabaya wa RC walichukulia fursa ya mahusiano haya ya Nawanda na Muhaya wake Tumsiime, na kuamua kuchomoa betri!
 
Yule binti ni malaya anayejiuza nina picha ambazo nimetumiwa na jamaa aliekaita chunya Kwa dau la laki moja, na ameshangaa sana hadi akasema mbona hako ni kazoefu ka kazi zote, Nawanda kaangushiwa jumba bovu, huezi kunieleza kabakwa mtu ambae anajiuza chunya, kahama, tena ana dau lake rasmi Kwa huduma zote, yule ni kahaba ambae nawanda kaangukia pua,
 
Ndugu yangu Paskali huwa naheshimu sana michango yako humu jukwaani.

Lakini pia tujiulize, Mhe Rais hadi anamuweka kando uRC ni kwamba hakuwa na taarifa za uhakika kutoka kwenye vyombo vya dola ambavyo huwa vinamshauri?

Naamini Mh Rais alipewa taarifa nyeti kumhusu RC ndiyo maana akafikia uamuzi wa kumuweka kando.
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
 
Ukiwa kama mwanahabari na bushlawyer tunayekutegemea umeandika chini ya kiwango kabisa.

Mfano wako wa Boda boda. Kama binti alikuwa ni under 18 basi alibakwa. Unashangaa form 4 wa 16 yrs!!
Nawanda kama alilawiti amefanya kosa kisheria. Watu wanashtakiwa kwa kubaka na kulawiti wake zao ndiyo iwe binti baki.
 
Asanteee Pascal Mayalla . Tawireeee!

Hizi ndiyo taarifa za kiuandishi ninazozitaka mm.

I said from the start, Tumsime is a Satan in human flesh.

Ikawaje huyu Nawanda (RC Simiyu by then) atoke Bariadi - Simiyu nyumbani kwake amfuate shetani Mwanza City...???

It doesn't make any sense, right...?

Bila shaka huyu Tumsime na huyu former RC ni wapenzi wa mapenzi haramu kwa muda mrefu tu, akawa amezoea na kuona ni kawaida. Hata kufirana ilikuwa ni kawaida yao kwa hiari zao wenyewe..

Mapenzi haramu sometimes yakikolea huwafanya wahusika vipofu na kuona kuwa ni maisha ya kawaida...

Kwa kuwa alishageuka kuwa kipofu, akawa haoni hatari ya tendo lake hilo...

Na bila kujua, kumbe kupitia mapenzi yao hayo, jamaa wameshasuka mpango wa kumpora u - RC wake..

Na nataka nikuambie ishu ni UKUU WA MKOA tu. Sio kwa sababu Nawanda ni mfiraji pekee na wenzake huko CCM na serikalini ni wa kawaida...

Wengi huko CCM na ndani ya serikalini kuanzia juu kabisa kuleeeeeee☝🏻☝🏻☝🏻ni wasagaji, wafiraji, wafwiraji, mashoga na uchafu wa aina zote..!
 
Mkuu nilipo soma hiyo kesi ya huyo mwanamke sina imani kama jamaa kweli ametenda, huo utakuwa mtego.
Kama mtengo-utakuwamtengo wa panya unaonasa waliomo na wasio kuwemo. Ila mazingira yanakataa pendekezo hili. RC alijipeleka sehemu mbaya akajikutanisha na watu wabaya wakati mbaya. RC anamchango mkubwa katika hili-amefanya kazi ya wabaya wake iwe rahisi sana.
 
Binafsi nampa pole Mtuhumiwa. Haki itendeke kwa kila mmoja.
Ukishafikisha umri flani au ukawa na wadhifa flani ktk jamii, kuna baadhi ya mambo hutakiwi kuyafanya, kuna style ya maisha inabidi ibadilike, cycle ya watu wako inabidi ibadilike, kuna maeneo hutakiwi kwenda tena. Hatakama unawindwa haitokuwa rahisi kukamatwa!. Nawanda amefeli kwenye hayo.
 
Ikawaje huyu Nawanda (RC Simiyu by then) atoke Bariadi - Simiyu nyumbani kwake amfuate shetani Mwanza City...???

It doesn't make any sense, right...?

Bila shaka huyu Tumsime na huyu former RC ni wapenzi wa mapenzi haramu kwa muda mrefu tu, akawa amezoea na kuona ni kawaida. Hata kufirana ilikuwa ni kawaida yao kwa hiari zao wenyewe..

Mapenzi haramu sometimes yakikolea huwafanya wahusika vipofu na kuona kuwa ni maisha ya kawaida...

Kwa kuwa alishageuka kuwa kipofu, akawa haoni hatari ya tendo lake hilo...

Na bila kujua, kumbe kupitia mapenzi yao hayo, jamaa wameshasuka mpango wa kumpora u - RC wake..

Na nataka nikuambie ishu ni UKUU WA MKOA tu. Sio kwa sababu Nawanda ni mfiraji pekee na wenzake huko CCM na serikalini ni wa kawaida...

Wengi huko CCM na ndani ya serikalini kuanzia juu kabisa kuleeeeeee☝🏻☝🏻☝🏻ni wasagaji, wafiraji, wafwiraji, mashoga na uchafu wa aina zote..!
You nailed it!
 
Mbona unampokonyoa huyo binti kiasi hicho, komredi Paskali? Umemwita huyo dada kabinti mwanzo mwisho!

Je, huo kweli ni oprofeshono wa tasnia ya uandishi wa habari na sheria?

Nilijua kila mtu anadhaniwa asinati hadi ithibitishwe ana hatia?

Umesema ndiye alisababisha bodaboda akafungwa jela miaka 30, ila usisahau kwamba huyo dada hakuwa hakimu wa kesi. Yeye alikuwa shahidi tu.

Je, unadhani mahakama ilifanya makosa kwenye ile kesi?
Huyo Binti ni pepo. Usikatetee. Siku kakiingia anga zako ndo utajuta
 
Ikawaje huyu Nawanda (RC Simiyu by then) atoke Bariadi - Simiyu nyumbani kwake amfuate shetani Mwanza City...???

It doesn't make any sense, right...?

Bila shaka huyu Tumsime na huyu former RC ni wapenzi wa mapenzi haramu kwa muda mrefu tu, akawa amezoea na kuona ni kawaida. Hata kufirana ilikuwa ni kawaida yao kwa hiari zao wenyewe..

Mapenzi haramu sometimes yakikolea huwafanya wahusika vipofu na kuona kuwa ni maisha ya kawaida...

Kwa kuwa alishageuka kuwa kipofu, akawa haoni hatari ya tendo lake hilo...

Na bila kujua, kumbe kupitia mapenzi yao hayo, jamaa wameshasuka mpango wa kumpora u - RC wake..

Na nataka nikuambie ishu ni UKUU WA MKOA tu. Sio kwa sababu Nawanda ni mfiraji pekee na wenzake huko CCM na serikalini ni wa kawaida...

Wengi huko CCM na ndani ya serikalini kuanzia juu kabisa kuleeeeeee☝🏻☝🏻☝🏻ni wasagaji, wafiraji, wafwiraji, mashoga na uchafu wa aina zote..!
Nakubaliana na wewe kiasi ili naomba uniruhusu nitofautiane na wewe kwenye suala la U RC. Issue hapa ni Nawanda mwenyewe-actions au inaction zake
 
Ndugu yangu Paskali huwa naheshimu sana michango yako humu jukwaani.

Lakini pia tujiulize, Mhe Rais hadi anamuweka kando uRC ni kwamba hakuwa na taarifa za uhakika kutoka kwenye vyombo vya dola ambavyo huwa vinamshauri?

Naamini Mh Rais alipewa taarifa nyeti kumhusu RC ndiyo maana akafikia uamuzi wa kumuweka kando.
Siku hizi vetting hakuna ukiwa kada na connection tu unalamba teuzi wima wima. Zamani kazi kama hizi za ukuu wa mikoa na wilaya walikuwa wanapewa watu ambao wameshahudumu muda wa kutosha kwenye civil service hivyo mienendo yao inakuwa inafahamika lakini siku hizi ukiwa uvccm na ukajua kutukana wapinzani na kusifia viongozi unapata shavu fasta tu.
 
Back
Top Bottom