CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mmoja wao ni Lucas MwashambwaKuna watu tayari wanajiandaa kwenda kumvisha pete huyo bint huku wamepiga magoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja wao ni Lucas MwashambwaKuna watu tayari wanajiandaa kwenda kumvisha pete huyo bint huku wamepiga magoti.
Mkuu unaujua upwilu wewe au unausikia tuNayeye ni mpuzi bwana,kakafuata kanini?Kajidhalilisha kwa mkewe,watoto na ndugu,sijui ataficha wapi uso wake
Inashangaza Pascali,Mwandishi Mahili,Kuchanbua ishu ya ulawiti Kwa njia nyepesi hivyo,angalia upande huu pia.Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Hapahitaji mafunzo kivile.Sexual Entrapment or Honey Trap ('Mtego wa Asali') ni mbinu ya Siasa Chafu ambayo inatumika Sana nchini Urusi na Mawakala wa Siri wa Ujasusi wa KGB/FSB ili kuwaharibia CV Watu fulani fulani ambao Utawala wa Urusi unawaona kuwa ni kikwazo au kero. Mbinu zote za kijasusi zinatumika ili kuwanasa mtegoni walengwa (targets) wao. Kukwepa mitego yao ni kazi kubwa Sana, unless uwe umepata Mafunzo ya kutosha (intelligence briefing) juu ya mbinu za kujihami na mitego yao. Kwa bahati mbaya sana Watanzania wengi Sana hawana uelewa juu ya mambo hayo, ikiwamo na hao Viongozi wa Serikali.
Kila mtu ana dark side yake.Nayeye ni mpuzi bwana,kakafuata kanini?Kajidhalilisha kwa mkewe,watoto na ndugu,sijui ataficha wapi uso wake
ndio huyu mlalamikaji?View attachment 3018000
Binti matata kweli kweli...
RPC wa Mwanza ndugu Mtafungwa amedai kuwa hiyo barua kaiona mitandaoni tu, haijafika ofisini kwake.Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mpaka sasa hivi mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Jibu ni Hapana.Je, Kwa nini bado hajakamatwa??
Ndio huyu kwani?
Sikuzi mambo kama unayofikiria, nchini Urusi mitego Kama hii wanategwa Hadi Mabalozi wa nchi za nje ambao wanaishi nchini humo na bado wananasa, Visa kama hivi ni vingi Sana nchini Urusi na hata katika nchi zingine washirika wa Urusi.Mkuu unakuza mambo bure-Intelligence Intelligence -Yaani kama wewe ni muadilifu, hupendi ngono kupitiliza hata kama hujaingia chekechea hawawezi kukupata; ila wanaume wengi kwa wanawake ni kama mbwa na chatu tunajipeleka kirahisi sana
Huna cha kubadilisha huko. Kwani walikuja kukuomba ushauri wa kile wanachokiwasilisha ama kutolea maoni?Teh teh teh ...huko mjengoni kwenye Bajeti ...mmeipa KISOGO
Inasikitisha na amechafua sana taswira yake kwa jamii. Mfiraji, bora hata ingeonekana amemlazimisha na kumuingilia njia ya kawaida ila sio kufira. Aibu sana kwa kweli.Nayeye ni mpuzi bwana,kakafuata kanini?Kajidhalilisha kwa mkewe,watoto na ndugu,sijui ataficha wapi uso wake
Unaweza kuta ni ka malaya kazoefu na kako lindalessSidhani kama kama marinda. Hakuna cha kufumua hapo.
Unakajuaje Dr. FungukaNakajua Hako kasichana halfu shida Kubwa sio Yeye Shida ni Wazazi wake
Mkuu wa mkoa tena mwenye mke na watoto unaenda kuzini kwenye gari? Acha yamkute tuHili suala Jeshi la Polisi lilitengeneza sinema ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa huyo jamaa. It's purely a fabricated Case. Hayo ni madhara yatokanayo na Siasa Chafu za Majitaka ya mtaro ambazo zimeasisiwa na kuendeshwa na Chama Tawala hapa nchini.
Aidha, suala hili la huyo RC ukiliangalia kwa jicho Kali la 'mwewe' utagundua kwamba ni kweli mtu huyo ametengenezewa skendo ili kumharibia sifa za kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa na kumharibia maisha yake yote kabisa. Ni muhanga wa targeted Sexpionage Operation and Sexual Entrapment/Honey trap Scandal.
Jaribu tu kufanya simple intelligence analysis kwamba ilikuwaje Nyaraka za Siri ( Classified Documents) ambazo Zina sensitive information za kutoka kwenye mamlaka ya Upelelezi Kama Jeshi la Polisi zivujishwe kirahisi namna hii humu mtandaoni??
Hii inawezekanaje?? Kitendo cha Kuvujisha Nyaraka za Siri za namna hii kwa mujibu wa Sheria za usalama wa Taifa katikà nchi yoyote ile hapa duniani inahesabika kama kosa la Uhaini, na katika nchi nyingi sana adhabu yake kwa kosa Kama hilo ni Kali Sana ikiwemo na kunyongwa Hadi kufa. Katika taasisi za kijeshi Kama Jeshi la Polisi watuhumiwa huwa wanapelekwa kwenye Mahakama za kijeshi (Court Marshall) na Kesi zao huendeshwa haraka sana na hatimaye wahusika wamekuwa wakinyongwa haraka kabisa. Sasa, Je, Askari Polisi aliyevujisha kwa umma hizo documents za Siri mpaka sasa hivi mmesikia kwamba tayari amekamatwa na Jeshi? Jibu ni Hapana.Je, Kwa nini bado hajakamatwa??
Mwisho:
Ni KWELI huwa Tanzania kuna watu Wajinga wengi sana, lakini siyo kweli hata kidogo kwamba Watanzania wote kabisa ni Wajinga.
Akikujibu nistueNawanda na hako kabinti ka miaka 21 walikutana wapi hadi wakafahamiana?
Tuanzie hapo 🐼
Yaani watu wanauona umalaya wa bint tuRC naye ni malaya japo ni Alhaj