Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tukubali hiyo dark side imemponza na sio kumteteaKila mtu ana dark side yake.
SIYO KWELI.Maadili ya kazi yake hayahitaji hayo
Kabla ushahidi wa uwongo jiulize bado alikaa nae wiki tatu ili iweje?Sheria za tz zinasema dent awe anatoa ushahidi wa uwongo mahakamani?
Kwahiyo wamekosea kumtumbua?SIYO KWELI.
Endapo kama huyo binti angekuwa subordinate wake mahali pake pa kazi, hapa hoja yako ingekuwa Ina mashiko. Lakini kwa kuwa binti huyo ni mtu mzima, na wala Hana uhusiano wowote ule wa kikazi au wa kindugu na huyo ex-RC, basi hakuna maadili yoyote yale ambayo yamekiukwa na huyo RC. Mahusiano yao yalikuwa halali kabisa kwa mujibu wa Sheria za nchi hii.
Dent akikimbilia nyumbani kwako kwamba hana pa kulala utamfukuza akalale jalalani?Kabla ushahidi wa uwongo jiulize bado alikaa nae wiki tatu ili iweje?
Kwahiyo RC peke yake ndio alitakiwa kukwepa ila binti ajiachie tu!?Hapo wa kukwepa alikuwa RC na sio huyo bint
Brother wewe ni lawyer tena wakili kama sikosei.Kumlala mtoto chini ya miaka 18 linaangaliwa swala la consent ama sheria inasemaje ikithibitika umefanya kama bodaboda alivyokutwa amefanya kama ulivyodokeza? Pili,kumuingilia mtu kinyume cha maumbile hata kama victim aliridhia,penal code inasemaje? Lete majibu .mkuu.Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Naye kwa kukosa kwake maadili wacha akome! Ila aibu amepata aisee watoto wake wanasoma habari zake kwenye mitandao kwamba baba aliingilia kabinti Kinyume na maumbile akatumbuliwa! Aibu hiyo naificha wapi aiseee!Kabinti ni kashenzi sana,ila Nawanda nae alizingua mtu ushakua na wadhfa wa RC bado unatoka na vibinti mcharuka vya nini wakati mishangazi ipo.
Laki mbona ndogo sana..?Yule binti ni malaya anayejiuza nina picha ambazo nimetumiwa na jamaa aliekaita chunya Kwa dau la laki moja, na ameshangaa sana hadi akasema mbona hako ni kazoefu ka kazi zote, Nawanda kaangushiwa jumba bovu, huezi kunieleza kabakwa mtu ambae anajiuza chunya, kahama, tena ana dau lake rasmi Kwa huduma zote, yule ni kahaba ambae nawanda kaangukia pua,
Tanzania tuitakayo ikoje hiyoWanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Mkoa upi mkuuWa kawaida Tu..ambao sio maarufu sana na iliishia Polisi Hazikufika mahakamani walimalizana nyumban
Mteule haishi Kwa stahaa, kumbe kama hatuwezi kuishi kwa stahaa tukatae teuziNaye kwa kukosa kwake maadili wacha akome! Ila aibu amepata aisee watoto wake wanasoma habari zake kwenye mitandao kwamba baba aliingilia kabinti Kinyume na maumbile akatumbuliwa! Aibu hiyo naificha wapi aiseee!
Ingekuwa uongo huyo bodaboda asingekula nyundo 7 gerezani sasa na wewe jichanganye kwa mtoto wa chini ya miaka 18 uone mahakama za Tz zitakavyofanya zitakusikiliza wewe au mtoto.Unatetea mtoto wa miaka 16 kusema uwongo kwamba alitekwa? Au na wewe umetumwa?
Hakika watu ni Mikwawa ShujaaKama alivishwa pete mariam biriani vipi ishindikane kwa huyu?