Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Broo P, huwa ni sahihi kutaja majina ya mu athirika, pindi inapotaarifiwa habari inayohusu issue ya namna hiyo?

Pamoja na yooote……mi nawaza kuwa yule X RC, hakutimiza makubaliano. Issue yake inafanana na ile ya Mike Tyson, iliyopelekea kufungwa kwa kubaka!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mbona Nawanda anatajwa?

Kwanini Tumsime asitajwe?
 
Huu ni unyanyapaaji wa wanawake nashangaa sana kuona na wanawake wenyewe baadhi yao wanashabikia huyu binti kuondelewa haki yake through ‘character assassination’.

Wanawake watanzania wengi wanajulikana kwa tamaa sijui ndio kupenda kuchuna ilo lipo wazi, lakini aina maana hiyo iwe sababu ya kubakwa pia.

Binafsi (true story) nakumbuka binamu yangu kabisa kama miaka 10 iliyopita (kipindi hiko akiwa na umri kama huo wa late 40’s) yeye anaishi London. Alikuwa anatupa story ya holiday kuna vibinti vimemlia sana hela yake vitoto hivyo hivyo vya early 20’s na kutoa mzigo havitaki.

Kuna siku akaviita nyumbani kwake akavinywesha pombe yeye mwenyewe sio mnywaji ugonjwa wake ni nyapu tu.

Baada ya kulewa vile vibinti anawashkaji zake manyanya walimpa sigara special akawasha yeye akawa anazuga tu anavuta moshi anatoa, vile vibinti vyenyewe vinavuta wamemaliza kuvuta sigara nusu saa wapo paralytic hawajitambui; akawafanya anavyojua mwenyewe.

Yeye hakuwa anaona kosa la matendo yake, bahati nzuri aliokuwa anatupa story wastaarabu tukamueleza hiyo ni rape asirudie hiyo michezo; akasema hiyo mbinu yeye alipewa na wenyeji.

Hayo mambo wanawake wanafanyiwa sana Tanzania na wengi wanakaa kimya kwa sababu hizi za kuonekana tamaa zao ndio zimewaponza.

Kuna rafiki yangu mwingine yeye ‘what’s up’ video zake ni ngono tu na connections za mastaa. Kuna siku kanitumia video hivyo hivyo binti wa miaka hiyo hiyo early 20’s amelewesha halafu madogo kama watatu wanapokezana.

Ni upumbavu hasa kwa mtoto wa kike kushabikia huyo binti kwa kumuita sijui ni malaya na nini na nini, hiyo ni rape.

Kwanini ampeleke bar kulewa, afanye mambo yake kwenye gari na binti baada ya kutoka hapo aende polisi ku-report.

It’s a rape na matusi kama haya ya kuwaita wanaofanyia hivyo malaya na maneno mengine ya hovyo yanafanya victim wengine wa matukio ya kubakwa wasijitokeze, ujinga zaidi wanawake kushabikia.

Asilimia kubwa ya wanaume wanaomtetea huyo mkuu wa mkoa the only justification na wao ni wabakaji wa kutumia kilevi In my opinion.
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Inawezekana kwa huyo boda walikuwa wapenzi, nafikiri uzito uliwekwa katika ukweli kuwa alikuwa mwanafunzi.
Kwa kiongozi wa mkoa, asipojiheshimu, tuna haja ya kuwa na kiongozi wa aina hii? Katika mazingira yote mawili, wanaume wamepotoka, na wawajibishwe!
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Nilikuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Dr. Namwanda kafanya kweli lile tukio. Taratibu mambo mengi zaidi yaanza kudhihirika na kuthibitisha mawazo yangu. Asante Paskali kwa andiko murua
 
Hii ndio kuangalia Jambo kwa jicho la tatu. Kuna watu wengi wanaangalia hili Jambo kijuujuu ndio maana wanamshumtumu mkuu wa mkoa Ila Kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Ukishakuwa mkuu wa mkoa kwenda club ni uzinguaji bwana,
Ukishafikisha miaka 40 bila kuwa na uwezo wa kudhibiti hamu zako ni janga. Huyu standards zake za uadilifu zipo chini.

Kama amapenda sana night clubs awe anaenda na nke wake.
 
Legacy ya JF imejengwa kutokana na uchambuzi wa kina wa habari zenye utata kama hizi. Haya chini ni maoni yangu kama mmoja ya watu tuliosomea cuba lakini hatukumaliza mafunzo.

Turudi nyuma kwanza, binti alielalamika kudhalilishwa kingono na RC Yahaya alishawahi kuwa na kesi huko nyuma ambayo ilipelekea mpenzi wake kufungwa miaka 30 kwa kosa la kubaka. Lakini na hio kesi ilikua na utata sana kama alivyoandika Pascal Mayalla

Inaonekana wazazi wake ili kuzuia fedhea ya mtoto wao kutorokea kwa boda waliamua kulazimisha ionekane mtoto wao alibakwa japo kwa maelezo ya mwanzo ya huyo binti alikiri kuwa alienda kwa jamaa yake kwa utashi wake mwenyewe.

Sasa hawa wazazi nahofia walihonga sehemu au walipewa favor sehemu ili kukamilisha lengo lao la kushinda kesi na kumwangia boda mvua ya miaka 30.

Lakini tunajua favor huwa haziendi burebure. Watesi wa RC Yahaya kama zilivyoonesha chats za whatsapp zilizovuja (alizokuwa anazisoma Maulid Kitenge) walimtumia huyu binti kufanikisha lengo lao la kumuumiza. Je haya matukio mawili yanahusiana? Inawezekana waliowapa wazazi wa huyu binti favor miaka ile ndio wamekuja kudai deni na kumtumia tena huyu binti na mzazi wake kufanikisha nia yao ovu.

Yahaya kama ana team yake na anataka kuwajua wabaya wake aanzie kwenye hio kesi ya yule boda alofungwa miaka 30. Waliofanikisha hio hukumu wanawajua wabaya wake kama sio wao wenyewe.

Mwisho wanaume tuwe makini sana na hawa viumbe, huyu binti kaangusha ndoto za watu wawili kwa kumpa mmoja miaka 30 jela na kumchafua mwingine kwa tuhuma ambazo zitamfuata maisha yake yote. Weekend njema.

PIA SOMA:
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
 
Mkuu wa mkoa unakula Tigo kwenye gari ya familia lazima upate nuksiiiiiii.Yaani harufu yote inakuwa sehemu ya familia ni nuksiiiii.
 
Viongozi wajitahidi kulinda miiko ya kazi zao. Asingeendekeza kichwa cha chini hayo yote yasingemkuta.!! Na wawe makini na watu wanaoamua kuwa na mahusiano nao. Mwisho waache michezo ya Sodoma.
Wakikaza mafuvu watajiharibia CV zao
 
Back
Top Bottom