The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Pamoja na yote mambo ya uhuni ya huyo binti, ile 2019 Boda alikata rufaa na akapewa miaka 7 gerezani, siyo 30 kama awali.
Rejelea hukumu ile.
Rejelea hukumu ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una uhakika gani kwamba kweli huyo binti aliingiliwa kinyume na maumbile?? Wewe unaamini Madai hayo kwamba yana ukweli???Hapahitaji mafunzo kivile.
Bali high moral standards zinakuokoa kwa silimia kubwa. ( Kumuingilia mwanamke mbele au nyuma bila ridhaa yake ni makosa, kwamtazamo wangu aliye ingia kwa nyuma uadilifu wake upo chini zaidi ya aliye ingia mbele)
Paskali anajishushia heshima, nafikiri anazeeka vibayaInasikitisha sana,mimi na ualimu wangu wa shule ya msingi siwezi kuandika haya yaliyoandikwa,shida iko wapi,acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake,nakama huyo mtoto ameudanganya umma sheria zipo zitamuadhibu.
Nibora kukaa kimya kuliko kuandika mambo ya namna hii,Pascal Mayalla wewe ni mwandishi wa habari mkongwe,na haitoshi wewe ni mwanasheria ,unakwama wapi mkuu?
Jifunze kuwa na akiba ya maneno,je vyombo vya sheria vikithibitisha kuwa huyo unayemtetea alimwingilia kinyume na maumbile huyo mtoto utasema nini?
unandika eti binti alisababisha boda boda akafungwa miaka 30,kweli kabisa hujui kuwa mtoto akiwa na 16yrs alitoroka shule na katika kufatilia ikabainika kuwa alikuwa akiishi na boda boda? Ulitaka mahakama ifanye nini?
Ila RC kuwa na kibint cha miaka 21 kwenye gari unaona ni sawa?Wewe una uhakika gani kwamba kweli huyo binti aliingiliwa kinyume na maumbile?? Wewe unaamini Madai hayo kwamba yana ukweli???
Hiyo ilikuwa ni njama tu za 'Watesi' wake huyo Mkuu wa Mkoa ili kuhalalisha madai na njama zao za kumng'oa madarakani huyo RC. Na hii mbinu ya kusema kwamba binti huyo amelawitiwa wameitunga makusudi baada ya kuona kwamba binti mwenyewe ana umri wa zaidi ya miaka 18 na ni mtu mzima, , hivyo madai ya kwamba amebakwa yangekosa nguvu ya kisheria katika kumtengenezea makosa huyo Mkuu wa Mkoa.
Huyo binti ni mtu mzima, wala siyo mtoto Mdogo. Kwa hiyo Mimi binafsi sioni kosa lolote kwa upande wa huyo ex-RC kumtongoza huyo binti.Mimi bado namlaumu Ex RC kwa ukubwa alionao,wadhifa,heshima aliyonayo anaenda kwa KITOTO kama HICHO ???? iwe aliingiliwa kwa ridhaa au laah .
Wanaume manacho Cha kujifunza, wanawake wenye akili timamu wapo wengi,kama mkiendelea kukisikilza kichwa Cha chini mtaendelea kudhalilika kilasiku
Huu ndio USENGE wa wanawake kuplay victim.Hapa mzee wangu wewe umechemka isee kama nsio mnaandika hivi sababu ya njaa basi tunasafari ndefu sana kama taifa.
Unataka kusema boda boda alionewa wakati unajua kabisa kutembea na mtoto chini ya miaka 18 ni kosa la jinai hata kama mtoto huyo ametaka mwenyewe boda alipaswa kumkwepa.
Kingine mkuu wa mkoa kwanini alikwenda kujianika club na hako katoto ka 21 year na huku akijua kabisa yeye ni mkuu wa mkoa na anafamilia..
Inaweza kana amefanya au pia ametegewa ila inaonyesha tu huyo Nawanda hafai kuwa na hiko cheo maana hana nidhamu..
kuna vyeo ukifika unakuwa mpole na starehe unafanya kwa machale sana sio unajiachia kama umerithi cheo vile.
NDO HUYU..View attachment 3018000
Binti matata kweli kweli...
Wewe ni RC wa wapi? Kaa kwa kutuliaWekeni picha tukaone unaweza kukutana nako ukajikuta umeingia matatani.
Ni sawa ndiyo, huyo binti siyo mtoto Mdogo. Mtu mwenye Miaka 21 Ni mtu mzima mwenye akili zake timamu kabisa za kuweza kufanya 'rational judgement.'Ila RC kuwa na kibint cha miaka 21 kwenye gari unaona ni sawa?
Hapo wa kukwepa alikuwa RC na sio huyo bintHuu ndio USENGE wa wanawake kuplay victim.
Huyo binti 21 years of age ni mtoto au young adult.
Kwanini asingemkwepa RC toka mwanzo!?
Binti ni MALAYA tu ambaye kaendeshwa na tamaa zake,kwa mtu ambaye hataki angeshalikwepa hili toka mwanzo.
Maadili ya kazi yake hayahitaji hayoNi sawa ndiyo, huyo binti siyo mtoto Mdogo. Mtu mwenye Miaka 21 Ni mtu mzima mwenye akili zake timamu kabisa za kuweza kufanya 'rational judgement.'
Uwongo kivipi? Hakukapelekea moto?Yule boda boda wa Mpanda ni Kigogo?
Unafurahi sana kuona boda anafia jela kwa kesi ya uwongo?
Paskali umetumwa?Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali
Huyo binti aliidanganya mahakama kwamba alitekwa na kubakwa, kitu ambacho siyo kweli.Uwongo kivipi? Hakukapelekea moto?
Kama alivishwa pete mariam biriani vipi ishindikane kwa huyu?Kuna watu tayari wanajiandaa kwenda kumvisha pete huyo bint huku wamepiga magoti.
Hakutekwa wala hakubakwa ila alifanywa nini? Na sheria za tz zinasemaje ukiwa na mahusiano na dent?Huyo binti aliidanganya mahakama kwamba alitekwa na kubakwa, kitu ambacho siyo kweli.
Hakutekwa na wala hakubakwa.
Unafurahia watu wanaotoa ushahidi wa uwongo na kutengeneza kesi?
Unatetea mtoto wa miaka 16 kusema uwongo kwamba alitekwa? Au na wewe umetumwa?Paskali umetumwa?
Unatetea bodaboda kumurubuni mtoto wa miaka 16 na kumweka kinyumba aah aah aah
Sheria za tz zinasema dent awe anatoa ushahidi wa uwongo mahakamani?Hakutekwa wala hakubakwa ila alifanywa nini? Na sheria za tz zinasemaje ukiwa na mahusiano na dent?