Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Huenda na wewe ni mmoja wao maana wasukuma mnapenda ngono kuliko maelezo
 
Binti anatumika
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Umeongea tahadhari ya muhimu sana Pascal
Kuna jambo lilimtokea kijana wangu alikuwa anafundisha shule moja binafsi huko Kibaha Pwani kwa bahati mbaya akawa na uwezo na bidii kubwa sana ya kazi akasifika zaidi ya wote aliowakuta hapo.

Mkuu wa shule alipogundua kwamba jina la huyu kijana wangu linatajwtajwa sana na mkurugenzi wa shule akahisi kijana anaweza kumzidi kete hivyo wakatafuta miongoni mwa wanafunzi apeleke malalamiko ofisini na kwa wazazi kwamba huyu kijana wangu anatembea nae.

Kijana aliponiambia mazingira hayo nilimwambia aondoke Hilo eneo haraka sana asijekuzehekea jela.

Alipoondoka tu Ile shule iliyumba sana na kurudi nyuma hivyo mkurugenzi akaamua kufanya utafiti juu ya nini kilitokea kwa kijana wangu akagundua skendo ya mapenzi ilibumbwa tu.

Ilipambwa vizuri sana na kutafutiwa mashahidi wa uongo.

Alipobaini hivyo alipiga simu sana kumbembeleza kijana arudi pale nikamshauri kijana wangu asikubali kabisa kurudi pale labda uongozi wote wa shule uondoke.

Kwa hiyo kuna watu yanawakuta tu kwa kuwa wamegusa maslahi ya wengine. Kutengeneza ushahidi fake ni rahisi sana
 
Ila huyo demu safari hii kayatimba kweli kweli. Kufanya ujuba kwa mtu wa hadhi ya RC kumemu expose sana sidhani kama atakuja kupata mwanaume wa maana tena wa kumfanyia huu ushetani wake. Ishu ya bodaboda ilishapita bila kujulikana kwa umma kiasi hiki lakini kupitia sakata la RC ndiyo imeibuliwa upyaaaaaaahhhhh !!!
 
Ndugu yangu Paskali huwa naheshimu sana michango yako humu jukwaani.

Lakini pia tujiulize, Mhe Rais hadi anamuweka kando uRC ni kwamba hakuwa na taarifa za uhakika kutoka kwenye vyombo vya dola ambavyo huwa vinamshauri?

Naamini Mh Rais alipewa taarifa nyeti kumhusu RC ndiyo maana akafikia uamuzi wa kumuweka kando.
Mama ni mkali sana linapokuja suala la maadili ya kiuongozi hasa yanayohusiana na mahusiano; Rejea Chongolo (alijiuzulu), Gekul, DED wa mafya, RC Simiyu sasa. Akisikia in 24 hour mkeka.
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Kuna kitu hapo bwana Mayala na Wana jf Cha kujifunzia.
Kwa Nini matukio ya ubakaji au kulawitiwa yanamwandama yeye tu?
Hata upande wa wazazi Kuna shida.
 
Binafsi nampa pole Mtuhumiwa. Haki itendeke kwa kila mmoja.
Ukishafikisha umri flani au ukawa na wadhifa flani ktk jamii, kuna baadhi ya mambo hutakiwi kuyafanya, kuna style ya maisha inabidi ibadilike, cycle ya watu wako inabidi ibadilike, kuna maeneo hutakiwi kwenda tena. Hatakama unawindwa haitokuwa rahisi kukamatwa!. Nawanda amefeli kwenye hayo.
Sexual Entrapment or Honey Trap ('Mtego wa Asali') ni mbinu ya Siasa Chafu ambayo inatumika Sana nchini Urusi na Mawakala wa Siri wa Ujasusi wa KGB/FSB ili kuwaharibia CV Watu fulani fulani ambao Utawala wa Urusi unawaona kuwa ni kikwazo au kero. Mbinu zote za kijasusi zinatumika ili kuwanasa mtegoni walengwa (targets) wao. Kukwepa mitego yao ni kazi kubwa Sana, unless uwe umepata Mafunzo ya kutosha (intelligence briefing) juu ya mbinu za kujihami na mitego yao. Kwa bahati mbaya sana Watanzania wengi Sana hawana uelewa juu ya mambo hayo, ikiwamo na hao Viongozi wa Serikali.
 
Hata kama ni kweli kamesetiwa kumpigisha shoti Yahaya na bingwa akachimbua tope, bado Yahaya anakosa! Angekuwa kwake jioni ile na mkewe huu mtego usingemnasa!

Ukiwa kiongozi inabidi uwe makini sana, inawezekana kwa hakika kabisa binti kasetiwa na kabinua 0713 kwa hiyari ila mkuu wa mkoa unakulaje tope kwenye gari? Tena parking? Hizo mambo awaachie masela

Narudia tena mkuu wa mkoa hana maadili, na lililo mbele yake sio kumgonga ndogo Tumsiime ila kosa lake kutojiheshimu. Angekuwa ni mtu anajiheshimu na ana maadili huu mtego asingenasa! Sasa watu wamejua udhaifu wake ndio maana wakapitishia hapo hapo, bora hata wangempigisha shoti ya fedha za takukuru walahi, mambo gani haya ya aibu kajiletea!
 
Sexual Entrapment or Honey Trap ('Mtego wa Asali') ni mbinu ya Siasa Chafu ambayo inatumika Sana nchini Urusi na Mawakala wa Siri wa Ujasusi wa KGB/FSB ili kuwaharibia CV Watu fulani fulani ambao Utawala wa Urusi unawaona kuwa ni kikwazo au kero. Mbinu zote za kijasusi zinatumika ili kuwanasa mtegoni walengwa (targets) wao. Kukwepa mitego yao ni kazi kubwa Sana, unless uwe umepata Mafunzo ya kutosha (intelligence briefing) juu ya mbinu za kujihami na mitego yao. Kwa bahati mbaya sana Watanzania wengi Sana hawana uelewa juu ya mambo hayo, ikiwamo na hao Viongozi wa Serikali.
Mkuu unakuza mambo bure-Intelligence Intelligence -Yaani kama wewe ni muadilifu, hupendi ngono kupitiliza hata kama hujaingia chekechea hawawezi kukupata; ila wanaume wengi kwa wanawake ni kama mbwa na chatu tunajipeleka kirahisi sana
 
Ni kweli ana background tofauti ila haitoshi kuhalalisha kuwa hawezi kulawitiwa.
Hapa tunasahau kuwa hata kama alitoa tigo kwa ridhaa yake ila kama kashtaki inatosha kumtia hatiani mkuu wa mkoa huyo maana position yake ilikuwa ni tishio. Yaweza kuwa alikubali kutokana na vitisho.

Kwenye uzi flan nilisema bosi ukila mfanyakaz akikufungulia kesi ya ubakaji utaenda na utakula mvua

Pili mkuu wa mkoa ye n kioo kwa jamii. Anafamilia na mke sasa yeye kwa nafasi yake hapaswi kuwa hata na tuhuma kama hixo

Swali la kujiuliza. Huo ukaribu wa rc na mwanafunzi huo ni ukaribu wa nn had kufikia kutuhumiana? Mbona hajaja kwako Pascal Mayalla ? Na kukushutumu? Rc vs mwanafunzi/mwanachuo? Kunakaukakasi hapa

NAHITIMISHA
MUNGU
MLALAMIKAJI
MTUHUMIWA
Ndio wanajua ukweli.
 
Ila huyo demu safari hii kayatimba kweli kweli. Kufanya ujuba kwa mtu wa hadhi ya RC kumemu expose sana sidhani kama atakuja kupata mwanaume wa maana tena wa kumfanyia huu ushetani wake. Ishu ya bodaboda ilishapita bila kujulikana kwa umma kiasi hiki lakini kupitia sakata la RC ndiyo imeibuliwa upyaaaaaaahhhhh !!!
Kuna watu tayari wanajiandaa kwenda kumvisha pete huyo bint huku wamepiga magoti.
 
Mama ni mkali sana linapokuja suala la maadili ya kiuongozi hasa yanayohusiana na mahusiano; Rejea Chongolo (alijiuzulu), Gekul, DED wa mafya, RC Simiyu sasa. Akisikia in 24 hour mkeka.
Kama hakutaki sehemu simple anakusukia mchongo anakutema kupitia kashfa za ngono mbona iko wazi hiyo
 
Huyo Binti ni pepo. Usikatetee. Siku kakiingia anga zako ndo utajuta
Wadau wengi hapo juu wamewaulizeni hivi former DC alikuwa akitafuta nini kwa huyo dada unayemwita pepo?

Au alienda kukagua miradi ya maendeleo ya serikali ya JMT labda???

Kuna msemo huu: Waarabu wa Pemba hutambuana kwa vilemba. Hakuna ukweli hapo kweli???

Mbona hamjibu maswali ya msingi? Mnabaki kujing'atang'ata tu. Sie tunataka haki itendeke pande zote, bila upendeleo.

Lakini kama tungepewa nafasi ya kulaumu kwa hisia na mihemko bila ushahidi wote, bila shaka jumba bovu lazima tu lingemwangukia Dokta.

Hii ni kwa kuzingatia umri wake, jinsi na jinsia, cheo na mamlaka yake, bila kusahau uwezo wa kielimu, fedha na ushawishi.

Msisahau kwamba RC ni almost rais wa mkoa husika!

NB: Ni ajabu mtu kutembea gizani huku amezima taa kimakusudi. Ndicho wanafanya simpathaizaz wengi humu, huku wakiupuuza ukweli muhimu.
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Licha ya suala la uyo dokta sheria zote zinazohusu migogoro katika mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume zinatakiwa kufanyiwa overhaul(ikiwemo sheria ya ndoa) kwa sababu kuna loopholes nyingi sana ambazo zinampa mwanamke advantage ya kumbambikia kesi au kumkomoa mwanaume.
 
Back
Top Bottom