Wanabodi
Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.
Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.
Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.
Angalia details za issue hii.
Issue ilikuwa hivi
- Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
- Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
- Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
- Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
- Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
- Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
- Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
- Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
- Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
- Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Paskali