Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
 
Sasa unakasirika app kuipa ruhusa... Hicho ni kipengele cha usalama lazima uruhusu wewe mwenyewe app kuaccess vitu vyako kama picha, mic, camera na hapo utachagua kama ni kwa wakati huo au wakati wote. Ukiachilia kuwa ni securitu feature pia ni takwa la kisheria hasa kwa nchi za EU
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Unatumia samsung gan labda ni feki hiyo
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Hii feature ni nzuri hata mimi nimeipenda maana kuna spy apps au virus app ambazo zinaji-install zenyewe.
Unajikuta una apps hata hujui kazi yake kumbe imejidownload na kujiinstall yenyewe na inachukua taarifa au matokeo yake unapata matangazo mengi (internet ads)
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Sasa mkuu inamaana kila app inayoingia kwenye simu yako ifanye inavotaka iweze ku access camera yako bila wew kutaka huoni hio inakua salama kwako na kwa watumiaji wengne ?
 
Watu kama nyie ndo wakopeshaji wa mitandao app wanawapenda. Simu APP by default bila ruhusa yako zina access ya taarifa zako zote ni kujichagulia tu watumie ipi kukudhalilisha ukichelewa kulipa.
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Punguza makasiriko. Samsung aina gani unatumia
 
Back
Top Bottom