Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂Tumia itel🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Tumia itel🤣
Zenye mwanga mwekundu😂
Hiyo simu hapanaZenye mwanga mwekundu
Zote Toyota: Toyota OPO na Toyota Landcruiser. Ila huwezi tumia OPO ukasema ndivyo ilivyo Toyota LandcruiserYaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Kwani umenunua Samsung aina gani?Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
A4 au A04?A4 series
A series hizo auKuna samsung ni infinix zilizochangamka.
Ni nzuri zikiwa mpya tu, ukitumia kama mwezi hivi itakuboa
Issue ya kuomba Ruhusa imeanza android 6 na sio feature ya samsung bali android zote haijalishi tecno, Samsung, Xiaomi ama vivo, maybe ulikua unatumia simu ya zamani sana kama umekutana nalo hili leo.Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.
App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.
Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu