Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Zote Toyota: Toyota OPO na Toyota Landcruiser. Ila huwezi tumia OPO ukasema ndivyo ilivyo Toyota Landcruiser
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Kwani umenunua Samsung aina gani?
 
Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana.

App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi.

Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
Issue ya kuomba Ruhusa imeanza android 6 na sio feature ya samsung bali android zote haijalishi tecno, Samsung, Xiaomi ama vivo, maybe ulikua unatumia simu ya zamani sana kama umekutana nalo hili leo.
 
Samsung ni simu mkuu mi nimetokea kuielewa sana[emoji817][emoji817] tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…