Battery ya simu ikikaa imara miaka miwili hiyo ni nzuri mbonaHili panga linakata kote kote, maana battery nayo inakufa mapema, mwaka ama miaka 2 kama una matumizi makubwa kwisha kazi, battery inatakiwa ibadilishwe.
Hakuna haja yakuacha simu kwenye charge overnight...kama iphone(joking)
Unaamka asubuhi unaboost shorlty inakutosha kwa siku nzima.....
Pia uhitaji wa battery kubwa utapungua kwasababu hata ikikuishia chaji unaboost kwa muda mfupi sana
Hapana battery zinakaa miaka hadi mitano ukizitunza vizuri, ama Zaidi.Battery ya simu ikikaa imara miaka miwili hiyo ni nzuri mbona
mkuu hiyo ni app au..ntk nijue betri yng ina afya gn.Hapana battery zinakaa miaka hadi mitano ukizitunza vizuri, ama Zaidi.
Hii simu ya 2017 Mwaka wa 4 huu ina 2700mah, now real capacity ni 2500mah imepoteza kama 10% tu,
View attachment 1974682
Inakuja na simu, kama unatumia app download accubattery playstore, charge itakwambia.mkuu hiyo ni app au..ntk nijue betri yng ina afya gn.
Mkuu unatumia simu aina gani?Hapana battery zinakaa miaka hadi mitano ukizitunza vizuri, ama Zaidi.
Hii simu ya 2017 Mwaka wa 4 huu ina 2700mah, now real capacity ni 2500mah imepoteza kama 10% tu,
View attachment 1974682
Hio ni xz1 compactMkuu unatumia simu aina gani?
Sony hatari sana mi nina x compact ya 2016 ila battery yake ni sawa na hizi Samsung A series za 4000mah. Performance yake camera iko vizuri sana.Internet super speed inapanda mpaka4G+ nimecheki comparisons zake na flgship kama s8 plus bado iko faster japo ni 3gb ram na snapdragon 650.Xz1 compact itakuwa vizuri zaidiHio ni xz1 compact
Mkuu samahan ,hawa sony ni kampuni inayotengeneza simu kutokea wapi?Je kwa sasa kuna matoleo yapi ya midrange yanayoipiku redmi note 10 ambayo yanacheza kati ya 5 laki hadi 7 laki?Hio ni xz1 compact
Ni Japan ila siku hizi wanatengeneza tu flagship na bei zao ni ndefu sana kusema kweli. Sisi wengine tunasubiria tu used za matoleo ya zamani.Mkuu samahan ,hawa sony ni kampuni inayotengeneza simu kutokea wapi?Je kwa sasa kuna matoleo yapi ya midrange yanayoipiku redmi note 10 ambayo yanacheza kati ya 5 laki hadi 7 laki?
Duuh haya kiongozi na used zipi nikizipata now nitajiona poA kwa bajeti hio niliokuambiaNi Japan ila siku hizi wanatengeneza tu flagship na bei zao ni ndefu sana kusema kweli. Sisi wengine tunasubiria tu used za matoleo ya zamani.
Xperia 1 unapata ila kwa muono wangu haina issue.Duuh haya kiongozi na used zipi nikizipata now nitajiona poA kwa bajeti hio niliokuambia
Bora nibaki xiaomi nishazoeaXperia 1 unapata ila kwa muono wangu haina issue.
Yangu inakanyaga masaa mawili na nusu [emoji124][emoji124] ntaendelea kuwa nayo maana pesa hazionekani .Niliwahi kuandika humu, hii ni usb standard mpya ambayo inaenda hadi watts 240, hivyo tegemea simu kibao kuwa hivi, even infinix wana yao.
Hivyo mkuu soon unatoona simu kibao zinazojaa kwa robo saa tu.
Kumbe kila kitu kina madhara yake , na zile zinazokaa kwenye moto masaa mawili na nusu inakuwaje swala la betri ?Hili panga linakata kote kote, maana battery nayo inakufa mapema, mwaka ama miaka 2 kama una matumizi makubwa kwisha kazi, battery inatakiwa ibadilishwe.
Adui mkubwa wa Battery ni joto, mara nyingi charger zinazochaji haraka zinatengeneza joto, na zinazochaji taratibu joto linakuwa dogo sana. Hivyo kama huna haraka upo tu nyumbani bora usitumie fast charging.Kumbe kila kitu kina madhara yake , na zile zinazokaa kwenye moto masaa mawili na nusu inakuwaje swala la betri ?
Mkuu mimi ninatumia oppo a3s tangu mwaka 2018 mwezi wa 11 mpaka leo , kwa sasa betri ndo limeanza kupungua makali maana zamani hata nipigeke mziki ilikuwa haitoi bar moja , lakini kwa sasa inakula kula nikiitoa kwenye chaji asubuhi kufikia jioni nikiingia na mtandaoni moto unakata.
Ila tangu nimemiliki simu zote kwa mikono yangu hii ndiyo simu niliyoiona bora , haijawahi nisaliti kama ilivyonisaliti Samsung J5 Prime , maana baada ya mwaka ilianza marue rue mengi tu ila hii tangia nimeinunua tena used sijawahi kurestore.
Chifu sory kuna hizi rumours je hii simu ikiwa hivi ma note 10( redmi yupi kakalishwa) na pia hii na poco f3 Xiaomi Redmi Note 11, Note 11 Pro specs leak. Said to launch shortly.Adui mkubwa wa Battery ni joto, mara nyingi charger zinazochaji haraka zinatengeneza joto, na zinazochaji taratibu joto linakuwa dogo sana. Hivyo kama huna haraka upo tu nyumbani bora usitumie fast charging.
Mkuu hizo simu note 11 na Note 11 pro sijazielewa ila tusubiri zaidi. Tetesi kuna Note 11 pro max itakuja na snapdragon 778.Chifu sory kuna hizi rumours je hii simu ikiwa hivi ma note 10( redmi yupi kakalishwa) na pia hii na poco f3 Xiaomi Redmi Note 11, Note 11 Pro specs leak. Said to launch shortly.
Kumbe , shukrani sana mkuu , sasa kama zitakuja hizi simu za kutumia dakika 12 kuchaji siitakuwa balaa . Kuwa tunafanya replacement ya betri kila baada ya mwaka .Adui mkubwa wa Battery ni joto, mara nyingi charger zinazochaji haraka zinatengeneza joto, na zinazochaji taratibu joto linakuwa dogo sana. Hivyo kama huna haraka upo tu nyumbani bora usitumie fast charging.