Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

usikubali kununua Pixel, samsung wala Iphones.

Nakushauri hivi kwa sababu ya maintanance issues.

hizo models nyingi zina gharama kubwa sana ya vifaa endapo zitapatapa uharibifu
Nashukuru. Unanishauri ninunue simu gani. Hususani nawanunulia watu age go
 
Tecno camon 30
Duu! TECNO kiboko,wameshafikisha Camon 30? Niliwahi kumiliki Camon 8. Ilivyofika "expiry date " ikaanza vituko. Kituko cha kwanza, kupigwa na bumbuwazi au kwa Kizaramo ku "stack". Inaamua inaganda tu. Hata ubonyeze vipi. Hadi itakapoamua yenyewe kuzinduka.
Kituko cha pili ilikuwa ni kujiwasha na kujizima yenyewe.
Na wewe ongezea.. Kituko kingine,kama ulishawahi kumiliki hiki kifaa cha mawasiliano.
 
mtu anakupgia kwake inaonesha inaita ila kwako haiiti,,kichonganishi sana kifaa hiki
 
Tafuta samsung A series za kwenye hiyo bei

Au tecno camon, spark za hiyo bei...

infinix hot, note za hiyo bei...

xiaomi, pixel mpaka used
Used phones hapana

Ngoja niangalie hapa samsung a series ipi itabalance kwenye bajeti ya laki 4. Nataka kununua simu mbili total nina laki 8, sitaki izidi bei zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom